Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZAZI WACHANGIA SHULE YA UFUNDI IFUNDA

 Mdau wa maendeleo, Jackson Kiswaga (mwenye skafu) akiwakabidhi moja ya mabati 50 wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi ya Ifunda kwa ajili ya ukarabati wa jengo la taaluma na nidhamu lilounguamwaka 2013 katika shule hiyo.(picha na Denis Mlowe).
 Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za Juu Kusini Jackson Kiswaga akizungumza wanafunzi na wazazi wa shule ya shule ya sekondari ya Ufundi ya Ifunda.  Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za Juu Kusini Jackson Kiswaga akikabidhi cheti kwa mhitimu wa shule ya shule...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wazazi pelekeni watoto vyuo vya ufundi’

WAZAZI na walezi wametakiwa kuwapeleka watoto wao waliohitimu kidato cha nne katika vyuo mbalimbali vikiwemo  vya ufundi na utalii, ili kuwaongezea utaalamu zaidi. Kauli hiyo ilitolewa jana na Diwani  wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wazazi wawapeleke watoto wao vyuo vya ufundi ili wajiajiri!!

Mkuu wa Chuo cha VETA Makete, Ramadhan Sebo akitoa nasaa kwa wanafunzi wanaoingia mtaani kujiajiri. Watanzania  wametakiwa kuwapelewa watoto wao katika vyuo mbalimbali vya ufundi stadi elimu inayo zalisha ajira nyingi kuliko vyuo vikuu
hapa nchini ili kuepukana na tatizo la ajira.Inadaiwa kuwa watu wanaojiajiri ni wengi wanao toka katika
vyuo vya ufundi kuliko wanano maliza vyuo vikuu kutokana na wanao toka vyuo
vikuu wanategenea kuajiliwa huku wa vyuo vya ufundi wakijikita...

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Airtel wachangia kuboresha mazingara ya shule ya msingi Ushindi

Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel kupitia mradi wake wa “AirtelTunakujali” wakishirikiana na wafanyakazi wa kitengo cha Airtel Biashara za Mashirika wameendeleza dhamira ya kusaidia jamii kwa kukarabati darasa la chekechea katika shule ya msingi Ushindi iliyopo jijini Dar Es Salaam.  Airtel imeendelea kushirikiana na wafanya kazi wake kutoa mchango kwa jamii kwa kuhakikisha shule zinakuwa na miundombinu na mazingira bora ya kujifunza hali itakayochochea wanafunzi kupenda shule. Uchakavu...

 

10 years ago

Michuzi

A toZ,Mengi wamsaidia Lowassa jimboni kwake,wachangia shule iliyoungua

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule sekondari ya wavulana ya Engutoto wilayani Monduli wakati alipotembelea leo.Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea.Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP amechangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha...

 

10 years ago

Michuzi

Wadau wa Social Media Network Citizens wachangia madawati kwa shule ya Msingi Mjimwema

Siku ya tarehe 11.01.02 wadau wa "Social Media Network Citizens", ambao ni watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter walifanya awamu ya pili ya zoezi la kukabidhi madawati 241 kwa shule ya msingi ya Mjimwema iliyopo kwenye kata ya Mjimwema, Jimbo la Kigamboni.
Katika awamu ya kwanza, wadau hawa walikabidhi madawati 45. Jumla ya Tsh 30.5 millioni zimechangwa na wadau hawa na zimetumika kutengeneza madawati 286 yaliyotolewa hadi hivi sasa.
Mchango huu wa madawati umewezesha kutatua tatizo la...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUKARABATI SHULE YA UFUNDI MWADUI KUPITIA MRADI WA EP4R


SERIKALI imesema imepanga kukarabati Shule ya Sekondari ya Ufundi ya Mwadui kupitia mradi wa lipa kulingana na matokeo (EP4R).

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Gerald Mweli wakati alipofanya ziara ya kutembelea shule hiyo na kubaini uchakavu wa miundombinu.

Mweli amesema uchakavu wa miundombinu ndio haswa unaochangia kushindwa kufanya vizuri kwa shule hiyo ambayo awali ilikua ikisifika kwa ubora wa elimu.

Amesema elimu ya ufundi ni muhimu sana kwa watoto haswa...

 

9 years ago

Habarileo

Wamiliki wa shule wawapoza wazazi

WAMILIKI wa shule binafsi nchini wamesema shule zitafunguliwa kama kawaida mwakani na wamewataka wazazi wa wanafunzi kuondoa hofu, iliyosababishwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kwamba hazitafunguliwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wazazi wajihadhari na matangazo ya shule

Kipindi cha Oktoba hadi Desemba kila mwaka, wazazi na walezi wengi huanza kuhaha wakitafuta shule kwa ajili ya watoto wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani