Wazazi wajihadhari na matangazo ya shule
Kipindi cha Oktoba hadi Desemba kila mwaka, wazazi na walezi wengi huanza kuhaha wakitafuta shule kwa ajili ya watoto wao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Wakuu 15 shule za wazazi matatani
9 years ago
Habarileo09 Dec
Wamiliki wa shule wawapoza wazazi
WAMILIKI wa shule binafsi nchini wamesema shule zitafunguliwa kama kawaida mwakani na wamewataka wazazi wa wanafunzi kuondoa hofu, iliyosababishwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kwamba hazitafunguliwa.
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Wazazi tuzitathmini shule za watoto wetu
10 years ago
MichuziWAZAZI WACHANGIA SHULE YA UFUNDI IFUNDA
10 years ago
GPLWAZAZI WALALAMIKIA MICHANGO SHULE MSIMBAZI MSETO
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Walimu wageuka wazazi Shule ya Msingi Mapambano
9 years ago
StarTV28 Dec
Wazazi, walezi waagizwa kupeleka watoto shule
Serikali imewaagiza wazazi na walezi mkoani Tabora kuwapeleka shule watoto wote wenye umri wa kwenda shule kwa kuwa hakuna pingamizi lolote baada ya Serikali kubeba jukumu la kulipia ada na michango mingine kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari.
Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kapunze Kata ya Ikomwa Manispaa ya Tabora, Mkuu wa mkoa huo Ludovick Mwananzila amesema Serikali imezitambua kaya masikini na kuzipatia ruzuku inayowezesha kuwahudumia watoto wao na kuongeza mahudhurio...
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Polisi waingilia vurugu za wazazi shule ya Miembeni
JESHI la Polisi Mkoa wa kipolisi Ilala, jana limelazimika kutumia nguvu kutuliza vurugu baada ya wazazi kuwavamia walimu wa Shule ya Msingi Miembeni, Vingunguti jijini Dar es Salaam. Chanzo cha...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Wazazi Geita mbaroni kwa kutopeleka watoto shule
WAZAZI watano mkoani Geita wamekamatwa na Polisi kwa kugoma kuwapeleka watoto wao shule na kuwalazimisha kuwaoza. Hatua hiyo inatokana na agizo la Mkuu wa Mkoa wa Geita, Saisi Magalula, la...