Aagiza kidato cha 1 kupokewa hata wasipokuwa na sare, ada
OFISA Elimu mkoa wa Dodoma, Juma Kaponda amewaagiza wakuu wa shule katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, kuwapokea watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza ambao wamekosa ada na sare za shule ili waendelee na masomo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLJK AAGIZA KIDATO CHA 5,6 KILA KATA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi mwanafunzi Agatha Julius Ninga kutoka Shule ya sekondari ya wasichana ya Tabora akiwa ni miongoni mwa wanafunzi sita waliofaulu vizuri katika mitihani ya sayansi ya kidato cha nne mwaka jana 2014. RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Wakuu wa Mikoa na Maofisa Elimu wote nchini, kuanza ujenzi wa shule maalumu za kidato cha tano na sita kwa kila kata na wakishindwa, katika shule za sekondari za...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mtvGQMaGEL0/VlqYSW9M6SI/AAAAAAAII4U/eUoUCys3Nd8/s72-c/1.png)
Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi
Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi. Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo. Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...
10 years ago
Michuzi10 Nov
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA
Maelekezo Muhimu.Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...
10 years ago
PMORALG01 Jul
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LYxsiSPD9fE/VfbKuLBVo7I/AAAAAAAH4wU/OOAa7B6lHLU/s72-c/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
Kikosi cha muziki mnene cha EFM 93.7 chatoka sare na mlandizi veteran
![](http://1.bp.blogspot.com/-LYxsiSPD9fE/VfbKuLBVo7I/AAAAAAAH4wU/OOAa7B6lHLU/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mhVL90WeXQI/VfbKuHKLa9I/AAAAAAAH4wQ/XGeH6DcfudU/s640/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-g5AvLUCCofI/VfbKv9nCJPI/AAAAAAAH4wc/sY5vZBMKH_w/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bfEoySLFiIo/XvMM3-x_jMI/AAAAAAALvMg/-sN8PajKwMMTZLtreJlGWlarToaEbb75ACLcBGAsYHQ/s72-c/0c48cdaa-436c-40be-9df0-e92027de8176.jpg)
KWANDIKWA AAGIZA UBORA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE
![](https://1.bp.blogspot.com/-bfEoySLFiIo/XvMM3-x_jMI/AAAAAAALvMg/-sN8PajKwMMTZLtreJlGWlarToaEbb75ACLcBGAsYHQ/s640/0c48cdaa-436c-40be-9df0-e92027de8176.jpg)
Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Bw. Pius Kazeze, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, wakati Naibu Waziri huyo alipokuwa akikagua hatua za uboreshaji wa kiwanja hicho, mkoani Mbeya
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/46e955d9-2478-4dcb-9766-422ef244e2e5.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/53f4165d-2c68-478d-9c88-da5fefec0185.jpg)
10 years ago
Habarileo11 Apr
Wakerwa misaada kupokewa kisiasa
WAATHIRIKA wa mafuriko kata ya Lamadi Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, wameeleza kusikitishwa na misaada iliyotolewa na taasisi mbalimbali kupokewa kisiasa.
10 years ago
GPLNGWASUMA, TWANGA ZILIVYOMENYANA JANA NA KUTOKA ‘SARE=SARE’
Twanga wakikamua jukwaani. Umati wa watu wakisebeneka Kalala Junior akiimba kwa hisia. Luiza Mbutu akiyarudi…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania