Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK AAGIZA KIDATO CHA 5,6 KILA KATA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi mwanafunzi Agatha Julius Ninga kutoka Shule ya sekondari ya wasichana ya Tabora akiwa ni miongoni mwa wanafunzi sita waliofaulu vizuri katika mitihani ya sayansi ya kidato cha nne mwaka jana 2014. RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Wakuu wa Mikoa na Maofisa Elimu wote nchini, kuanza ujenzi wa shule maalumu za kidato cha tano na sita kwa kila kata na wakishindwa, katika shule za sekondari za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Aagiza kidato cha 1 kupokewa hata wasipokuwa na sare, ada

OFISA Elimu mkoa wa Dodoma, Juma Kaponda amewaagiza wakuu wa shule katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, kuwapokea watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza ambao wamekosa ada na sare za shule ili waendelee na masomo.

 

11 years ago

Michuzi

JK afungua ukumbi wa mihadhara CHUO cha SEKOMU, aagiza wilaya zote nchini zijenge maabara katika kila shule

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Mkuu wa Chuo cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU  Askofu Dr.Stephen Munga(kushoto)Makamu Mkuu wa Chuo cha SEKOMU Dr.Anneth Munga(watatu kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Chiku Galawa(kulia) wakikata utepe kuzindua rasmi ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa wilayani Lushoto Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika Chuo Kikuu chA Sebastian Kolowa Memorial University mabapo alifungua...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

Maelekezo Muhimu.

Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.

Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...

 

10 years ago

Habarileo

RC aagiza viongozi kata kusambaza Katiba mpya

Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku GallawaMKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amewaagiza viongozi wote wa ngazi za kata, vitongoji na mitaa, kuhakikisha nakala za Katiba Inayopendekezwa, zinawafikia walengwa na kusimamia ipasavyo ugawaji wa nakala hizo.

 

11 years ago

Habarileo

Rais aagiza ripoti za mahudhurio ya shule kila mwezi

RAIS Jakaya Kikwete ameagiza wakuu wa shule zote nchini kila mwezi watoe taarifa za mahudhurio ya wanafunzi kwa maofisa Elimu.

 

5 years ago

Michuzi

DC aagiza kila mwananchi kupambana na Corona kwa hiari

Na Amiri kilagalila,Njombe

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kila mwananchi kuhakikisha anapambana na virusi vya Corona (COVID-19) kwa hiari ili taifa liweze kubaki salama.

Msafiri ametoa agizo hilo mapema alfajiri ya leo April 22 2020 wakati akiongoza zoezi la utakasaji mabasi yanayoelekea mikoa mingine kutokea kituo cha mabasi Njombe mjini kwa Croline,zoezi ambalo limeratibiwa na halmashauri ya mji wa Njombe.

“Kila mwananchi ajione ni mdau katika zoezi la kupambana na virusi...

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira kujenga vyuo kila kata

Mgombea urais wa ACT Wazalendo, Anna Mghwira ameahidi kujenga vyuo vya ufundi kila kata nchini ili kuhakikisha vijana wanapata ajira na kujiajiri na kujiongezea kipato kitakachowasaidia kujikimu kimaisha.

 

9 years ago

Habarileo

Wazazi CCM wagawa ardhi kwa kila kata

JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Mjini, imezigawia Jumuiya zake za kata ardhi yenye ukubwa wa hekari moja kwa lengo la kuziendeleza kiuchumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani