Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abaka ajuza wa miaka 90

MAHAKAMA ya Mkoa wa Tabora, imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Mabama wilayani Uyui, Malando Charles (30), kifungo cha miaka 30 jela na kulipa fidia ya Sh 500,000, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka bibi kizee wa umri wa miaka 90.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ajuza miaka 90: anasoma darasa la nne

Priscilla Gogo Sitienei ana ana umri wa miaka tisini anasoma darasa la nne.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Ajuza wa miaka 111 apona nchini Chile

Bi Zúñiga alikutwa na ugonjwa huo baada ya kutokea mlipuko wa maambukizi katika kituo cha kulea wazee ambacho anatunzwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Lata Kare: Ajuza mwenye umri wa miaka 68 anayekimbia bila viatu kuokoa maisha ya mume wake

Lata Kare ni ajuza mwenye umri wa miaka 68. Kwa kipindi cha miaka mitatu iliopita amekimbia na kushinda mbio za marathon za kilomita 3 katika eneo la Maharashatra, magharibi mwa I

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Baba abaka bintiye, amwambukiza Ukimwi

>“Amini usiamini hizi ni zama za mwisho mwanangu, mimi hili suala bado haliniingii akilini kabisa, kwani nilizoea kusikia kama hadithi kuwa mzazi ana uhusiano wa mapenzi na mwanawe, lakini leo hii yamenikuta ya kunikuta,” haya ni maneno ya Bhoke Mwita (siyo jina halisi), mama mzazi wa binti anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi kwa miaka minne.

 

11 years ago

GPL

DENTI SEKONDARI ABAKA MADENTI 3 WA SHULE YA MSINGI

Gladness Mallya na Deogratius Mongela
UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni! Katika hali isiyo kawaida denti wa kidato cha kwanza aliyetajwa kwa jina moja la Musa anadaiwa kuwabaka wanafunzi watatu wa shule ya msingi hadi kuwaharibu sehemu za siri. Mmoja wa watoto wanaodaiwa kubakwa na mwanafunzi wa sekondari.
Tukio hilo la karne lilitokea Kigogo-Luhanga jijini Dar ambapo denti huyo wa sekondari anayeishi na bibi yake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajuza aliyedhulumiwa kukutana na Abe

Mwanammke mmoja wa Korea aliyedhulumiwa kingono na jeshi la Japan atarajiwa kuhudhuria kikao cha baraza la Congress

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajuza awatukana wapiganaji wa IS Syria

Zaidi ya watu millioni moja katika mtandao wa facebook wameiona video katika mtandao kuhusu ajuza wa Syria anayewakashifu IS

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajuza amfundisha adabu jambazi

Ajuza mwenye umri wa miaka 80 alimpiga mwizi usoni mwake nchini Uingereza na kumuogopesha kiasi cha kutoroka.

 

10 years ago

BBCSwahili

Google yamtuza mwanafunzi ajuza Kenya

Marehemu mzee Maruge aliweka historia kwa kuwa mwanafunzi mkongwe zaidi kujiunga na shule na msingi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani