UKATILI: Baba abaka bintiye, amwambukiza Ukimwi
>“Amini usiamini hizi ni zama za mwisho mwanangu, mimi hili suala bado haliniingii akilini kabisa, kwani nilizoea kusikia kama hadithi kuwa mzazi ana uhusiano wa mapenzi na mwanawe, lakini leo hii yamenikuta ya kunikuta,†haya ni maneno ya Bhoke Mwita (siyo jina halisi), mama mzazi wa binti anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi kwa miaka minne.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBABA ASAKWA UBAKAJI WA BINTIYE
11 years ago
Habarileo24 May
Baba wa 'Mtoto wa Boksi’ aguswa mateso ya bintiye
BABA mzazi wa mtoto wa miaka minne, aliyedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu kwa kufungiwa ndani ya boksi tangu akiwa na umri miezi tisa, Rashid Mvungi hatimaye amepatikana na kusema kuwa mtoto huyo ni damu yake na kwamba yuko tayari kumlea katika hali yoyote. Mvungi alisema hayo jana, ambapo alisema tukio la mtoto wake kuishi ndani ya boksi, limemtia simanzi kubwa.
10 years ago
GPLCHRIS BROWN AANDAA SHEREHE YA SIKU YA BABA DUNIANI, BINTIYE NDIYE MGENI RASMI
11 years ago
Habarileo20 Feb
Ukatili wa kijinsia wachochea Ukimwi
IMEELEZWA kuwa ukatili wa kijinsia ni mojawapo ya njia kuu inayoeneza Ukimwi na ongezeko lolote la vitendo hivyo linachochea pia ongezeko la maambukizo. Kauli hiyo imetolewa na Meneja mradi wa kupambana na ukatili wa kijinsia ili kupunguza maambukizi ya virusi vya Ukimwi, Muhammad Hassan kutoka Shirika la WOWAP.
11 years ago
Habarileo06 Jun
Abaka ajuza wa miaka 90
MAHAKAMA ya Mkoa wa Tabora, imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Mabama wilayani Uyui, Malando Charles (30), kifungo cha miaka 30 jela na kulipa fidia ya Sh 500,000, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka bibi kizee wa umri wa miaka 90.
11 years ago
GPLDENTI SEKONDARI ABAKA MADENTI 3 WA SHULE YA MSINGI
11 years ago
Uhuru Newspaper27 Jun
Mbaroni kwa kumbaka bintiye
NA DOROTHY CHAGULA, MUSOMA MKAZI wa Musoma mkoani Mara, Emmanuel Lucas, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka kwa nyakati tofauti binti yake wa miaka 19 (jina linahifadhiwa) na kumwambukiza ukimwi. Lucas (52), anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kuanzia mwaka 2007 na kumsababishia binti yake kupata maambukizi ya ukimwi. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Paul Kasabago, alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akimbaka binti yake huyo mara kwa mara hadi kupata ujauzito, ambapo mtoto...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Akamatwa kwa kutomsomesha bintiye
MKAZI wa Kijiji cha Mponvu, Kata ya Mtakuja wilayani Geita, Samweli Bupina (40) amekamatwa na polisi kwa kosa la kukataa kumsomesha binti yake Mengi Samweli (17). Bupina anadaiwa baada ya...
10 years ago
GPLASHITAKIWA KWA KUMTIA MIMBA BINTIYE