ASHITAKIWA KWA KUMTIA MIMBA BINTIYE
MAHAKAMA moja mjini Bungoma nchini Kenya imemshtaki ofisa mmoja wa wadi ya Bukembe kwa kulala na mwanawe wa kike mwenye umri wa miaka 14 kwa zaidi ya miaka miwili baada ya mkewe kufariki mwaka 2013. Kulingana na gazeti la The Standard nchini Kenya, mwathiriwa ambaye ni mjamzito wa miezi minne amesema kuwa mshukiwa huyo ambaye ni babaake amekuwa akimlazimisha kufanya mapenzi naye kila usiku na kumuonya kwamba angemdhuru iwapo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Ashtakiwa kwa kumtia mimba mwanawe
11 years ago
Uhuru Newspaper27 Jun
Mbaroni kwa kumbaka bintiye
NA DOROTHY CHAGULA, MUSOMA MKAZI wa Musoma mkoani Mara, Emmanuel Lucas, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka kwa nyakati tofauti binti yake wa miaka 19 (jina linahifadhiwa) na kumwambukiza ukimwi. Lucas (52), anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kuanzia mwaka 2007 na kumsababishia binti yake kupata maambukizi ya ukimwi. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Paul Kasabago, alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akimbaka binti yake huyo mara kwa mara hadi kupata ujauzito, ambapo mtoto...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Akamatwa kwa kutomsomesha bintiye
MKAZI wa Kijiji cha Mponvu, Kata ya Mtakuja wilayani Geita, Samweli Bupina (40) amekamatwa na polisi kwa kosa la kukataa kumsomesha binti yake Mengi Samweli (17). Bupina anadaiwa baada ya...
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Afungwa miaka 8 kwa kumuoza bintiye
11 years ago
Habarileo23 Apr
Aua bintiye kwa kupalilia vibaya shamba
MKAZI wa Kijiji cha Ng'ereng'ere Kata ya Nyamaraga wilayani Tarime katika Mkoa wa Mara, Michael Bokoyo (64) anatuhumiwa kumuua binti yake mwenye umri wa miaka 10 kwa mpini wa jembe akimtuhumu kupalilia shamba vibaya.
5 years ago
BBCSwahili27 May
Idris Sultan ashitakiwa kwa kutumia namba ya simu isiyosajiliwa kwa jina lake
10 years ago
Raia Tanzania25 Jun
Ashitakiwa kwa kutelekeza familia
MFANYABIASHARA Baseif Salum (46), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kujibu shitaka la kutelekeza familia.
Mbele ya Hakimu Benjamin Mwakasonda, Karani Hatanawe Kitogo, mwishoni mwa wiki alidai mshitakiwa alitenda kosa hilo Januari Mosi mwaka huu, saa 4:00 asubuhi, eneo la Kariakoo, wilayani Ilala.
Anadaiwa kumtelekeza mkewe Rahma Said na watoto wawili bila kumpatia huduma yoyote, huku akijua anatenda kosa hilo kinyume cha sheria.
Mshitakiwa alikana kutenda...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s72-c/wema%2B%284%29.jpg)
NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s640/wema%2B%284%29.jpg)
Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Musharraf ashitakiwa kwa uhaini Pakistan