Aua bintiye kwa kupalilia vibaya shamba
MKAZI wa Kijiji cha Ng'ereng'ere Kata ya Nyamaraga wilayani Tarime katika Mkoa wa Mara, Michael Bokoyo (64) anatuhumiwa kumuua binti yake mwenye umri wa miaka 10 kwa mpini wa jembe akimtuhumu kupalilia shamba vibaya.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper27 Jun
Mbaroni kwa kumbaka bintiye
NA DOROTHY CHAGULA, MUSOMA MKAZI wa Musoma mkoani Mara, Emmanuel Lucas, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka kwa nyakati tofauti binti yake wa miaka 19 (jina linahifadhiwa) na kumwambukiza ukimwi. Lucas (52), anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kuanzia mwaka 2007 na kumsababishia binti yake kupata maambukizi ya ukimwi. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Paul Kasabago, alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akimbaka binti yake huyo mara kwa mara hadi kupata ujauzito, ambapo mtoto...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Akamatwa kwa kutomsomesha bintiye
MKAZI wa Kijiji cha Mponvu, Kata ya Mtakuja wilayani Geita, Samweli Bupina (40) amekamatwa na polisi kwa kosa la kukataa kumsomesha binti yake Mengi Samweli (17). Bupina anadaiwa baada ya...
10 years ago
GPLASHITAKIWA KWA KUMTIA MIMBA BINTIYE
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Afungwa miaka 8 kwa kumuoza bintiye
10 years ago
Vijimambo16 Dec
SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO
Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Bunge la Katiba mpya tumeanza vibaya, tutamaliza vibaya
UTEUZI wa wajumbe wa Bunge la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete juzi hauonekani kuwa na jambo jipya, umezingatia yale yale yaliyokuwa yanatarajiwa kwa kiwango kikubwa. Ni uteuzi uliowaweka walalamikaji...
10 years ago
Habarileo25 Dec
Shamba apatikana na zao la ‘shamba’
SHAMBA Malela (20) mkazi wa Nianjema wilayani Bagamoyo mkoani Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na kete 136 za dawa aina ya heroin.
10 years ago
Habarileo23 Dec
Aua kwa wivu wa mapenzi
MTU mmoja, Juma Zengo Ulata (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada kumpiga nondo ya kichwa na kumsababishia kifo Issa Mihayo Shilia (40), mkazi wa Shinyanga Tanzania Bara baada ya kumtuhumu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mkewe huko Bambia wilaya ya Kati Unguja.
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Baba aua mtoto kwa fimbo
WATU watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa likiwemo la mtoto Irene Mbembela (7), mkazi wa Sogea-Tunduma, wilayani Momba, kuuawa kwa kupigwa fimbo na baba yake mzazi. Irene ambaye...