Mbaroni kwa kumbaka bintiye
NA DOROTHY CHAGULA, MUSOMA
MKAZI wa Musoma mkoani Mara, Emmanuel Lucas, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka kwa nyakati tofauti binti yake wa miaka 19 (jina linahifadhiwa) na kumwambukiza ukimwi.
Lucas (52), anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kuanzia mwaka 2007 na kumsababishia binti yake kupata maambukizi ya ukimwi.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Paul Kasabago, alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akimbaka binti yake huyo mara kwa mara hadi kupata ujauzito, ambapo mtoto...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Sep
Mbaroni kwa kumbaka mwanawe
MKAZI wa Mtaa wa Lizaboni katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Abdallah Bakari (43) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumwingilia kimapenzi mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 11.
11 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mlemavu
JESHI la Polisi mkoani hapa, linamshikilia Hamad Banda (42), Mkazi wa Ligula B, kwa tuhumu ya kumbaka msichana wa miaka 17 (jina linahifadhiwa), ambaye ni mlemavu wa akili. Akizungumza na...
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Mbaroni kwa kumbaka mtoto wa jirani yake
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Akamatwa kwa kutomsomesha bintiye
MKAZI wa Kijiji cha Mponvu, Kata ya Mtakuja wilayani Geita, Samweli Bupina (40) amekamatwa na polisi kwa kosa la kukataa kumsomesha binti yake Mengi Samweli (17). Bupina anadaiwa baada ya...
10 years ago
GPLASHITAKIWA KWA KUMTIA MIMBA BINTIYE
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Afungwa miaka 8 kwa kumuoza bintiye
11 years ago
Habarileo23 Apr
Aua bintiye kwa kupalilia vibaya shamba
MKAZI wa Kijiji cha Ng'ereng'ere Kata ya Nyamaraga wilayani Tarime katika Mkoa wa Mara, Michael Bokoyo (64) anatuhumiwa kumuua binti yake mwenye umri wa miaka 10 kwa mpini wa jembe akimtuhumu kupalilia shamba vibaya.
11 years ago
Habarileo19 Jun
Miaka 30 kwa kumbaka mtoto
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, imemhukumu mkazi wa Kitunda, Ally Suna (60) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka tisa.
10 years ago
Mwananchi02 May
Jela kwa kumbaka mtoto wake