Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 30 kwa kumbaka mtoto

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, imemhukumu mkazi wa Kitunda, Ally Suna (60) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka tisa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka mitano

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha maisha Kashindje Shija (50), baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanajeshi wa UK hatiani kwa kumbaka mtoto

Mwanajeshi mwingereza ameshtakiwa kwa kosa la kumbaka na kumdhalilisha mtoto mwenye umri wa miaka 6 nchini Austria.

 

10 years ago

Mwananchi

Jela kwa kumbaka mtoto wake

Hanang’. Mkulima wa Kijiji cha Waama, wilayani Hanang’ mkoani Manyara, Pachal Yoya amehukumiwa jela miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mapenzi na mtoto wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbaroni kwa kumbaka mtoto wa jirani yake

Mtoto wa miaka (5) mkazi wa Kijiji cha Kabuhima Kata ya Uyovu Wilaya ya Bukombe mkoani Geita amefanyiwa ukatili wa kinyama baada ya kubakwa na jirani yao.

 

9 years ago

Mwananchi

Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa dada yao

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida, imemuhukumu Mkazi wa Veta Kata ya Mandewa, Ramadhan John (20) na mdogo wake, Karim (18) kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka kwa zamu mtoto wa kike wa dada yao (9).

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa miaka 9 aozeshwa na baba yake kwa mwanaume mwenye miaka 60

 Untitled

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9).

Untitled 1

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi.

2 (2)

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia).

3

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo,...

 

10 years ago

Habarileo

Ushirikina wa kumbaka mtoto wamtupa jela maisha

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Shinyanga imemhukumu kifungo cha maisha jela mkazi wa mtaa wa Kitangili katika manispaa ya Shinyanga baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka na kumpa ujauzito mtoto wake wa kambo, mwanafunzi wa darasa la tatu.

 

11 years ago

GPL

BABU MIAKA 80 ADAIWA KUMBAKA MJUKUU WAKE


STORI: SHANI RAMADHANI
BABU mwenye umri wa  miaka (80), Benedict mkazi wa Tandika Kilimahewa, jijini Dar ametiwa mbaroni kwa madai ya kumbaka mjukuu wake wa kike (jina linahifadhiwa) mwenye umri wa miaka (6). Mtoto aliyebakwa na babu. Tukio hilo la kuhuzunisha linadaiwa kutokea Machi 8, mwaka huu usiku wakati babu na mjukuu wake huyo wakiwa wamelala pamoja chumbani kwake. Akizungumza na mwandishi wetu, jirani wa babu...

 

11 years ago

CloudsFM

MUME WA MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI ADAIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE WA MIAKA 17

Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.
Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani