BABA ASAKWA UBAKAJI WA BINTIYE
![](http://api.ning.com:80/files/OSWpCIjID-F4cASti*RDamlg8ENh*yn7tprQ6GrmCwcd2DBPQFNkSh0WmEzVRhKJxfbHBiuT0lJxg0L033vSU8TJGrzLg4S*/jik.jpg?width=650)
Bw. Salum anayesakwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumpachika mimba binti yake wa kambo. Waandishi wetu MUNGU wangu! Mwanaume mmoja mkazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina moja la Salum, anasakwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumpa ujauzito bintiye wa kambo (jina limehifadhiwa). Binti anayedaiwa…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MjUiWVyv*JLXEq3k2YQYcLuDSOAgLtZuLngx1zkseMC565ttMS2b8lhuxkLqc6Kmo8zydNq1wOP1fJK-Pf-svFOoUPVc1VPt/flora.jpg)
MUME WA FLORA MBASHA ASAKWA KWA UBAKAJI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJURDbsrxpXOhKmqlOgLDH-4AUaaJQ6UYPRYFxQfHogGRVBmQ*NtUw219blR3FtRpKwq5H2UG3-tSGVNuCDEruCvp/KAMANDA.jpg?width=650)
MJUKUU ASAKWA KWA UBAKAJI, ULAWITI BIBI MIAKA 74!
11 years ago
Mwananchi28 Jun
UKATILI: Baba abaka bintiye, amwambukiza Ukimwi
11 years ago
Habarileo24 May
Baba wa 'Mtoto wa Boksi’ aguswa mateso ya bintiye
BABA mzazi wa mtoto wa miaka minne, aliyedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu kwa kufungiwa ndani ya boksi tangu akiwa na umri miezi tisa, Rashid Mvungi hatimaye amepatikana na kusema kuwa mtoto huyo ni damu yake na kwamba yuko tayari kumlea katika hali yoyote. Mvungi alisema hayo jana, ambapo alisema tukio la mtoto wake kuishi ndani ya boksi, limemtia simanzi kubwa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lihD20i2jrwBHHp99VMMPVoOK*KZC*gz9UZaeUBGYHTlkMbDQS*UvZkAOolSZMOXKVNUGUM2NzGsN1hJ57nl*6tntq6zD5Bb/BROWN.jpg?width=650)
CHRIS BROWN AANDAA SHEREHE YA SIKU YA BABA DUNIANI, BINTIYE NDIYE MGENI RASMI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP7B74WnTcIb6OLywuW-hNxNNBZjl8x9690qyACtGEA5Xq6dLeEbIwSqf5UwAN79vZeaa0xO5gmhY6*oG2KFMdSP/Diamond.jpg)
DIAMOND ASAKWA MAZISHI YA BABA WA BABU TALE
11 years ago
Uhuru Newspaper27 Jun
Mbaroni kwa kumbaka bintiye
NA DOROTHY CHAGULA, MUSOMA MKAZI wa Musoma mkoani Mara, Emmanuel Lucas, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka kwa nyakati tofauti binti yake wa miaka 19 (jina linahifadhiwa) na kumwambukiza ukimwi. Lucas (52), anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kuanzia mwaka 2007 na kumsababishia binti yake kupata maambukizi ya ukimwi. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Paul Kasabago, alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akimbaka binti yake huyo mara kwa mara hadi kupata ujauzito, ambapo mtoto...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Akamatwa kwa kutomsomesha bintiye
MKAZI wa Kijiji cha Mponvu, Kata ya Mtakuja wilayani Geita, Samweli Bupina (40) amekamatwa na polisi kwa kosa la kukataa kumsomesha binti yake Mengi Samweli (17). Bupina anadaiwa baada ya...
10 years ago
GPLASHITAKIWA KWA KUMTIA MIMBA BINTIYE