Abdallah: Ukosefu wa mashindano unaua tenisi
Baada ya kukosekana mashindano ya kimataifa ya mchezo wa tenisi ya wakubwa hapa nchini kwa miaka mitatu klabu ya Dar es Salaam Gymkhana imeyarudisha mashindano hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Jan
Mashindano ya tenisi Afrika Mashariki yaanza leo
MASHINDANO ya tenisi ya Vijana ya Afrika Mashariki yanatarajiwa kuanza leo kwenye Uwanja wa Gymkhana jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
‘Umasikini unaua wajawazito’
MUUGUZI Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera, Revocatus Dominick, amesema kina mama wengi wamekuwa wakipoteza maisha wakati wa kujifungua, kutokana na umasikini wa vipato. Dominick alitoa kauli hiyo alipozungumza...
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Ufisadi unaua mamilioni duniani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpGMjqP2ZhCR0neo9pOh9gBNHLa-IfbSpCmEJFpLhl8eN6IPLVFcJhDnYC*iopGhxG8AAoRw*vb8UEa0OsRJf-ei/mpeke1.jpg?width=650)
MWANA...UKIBENDI UNAUA BENDI LAIVU
11 years ago
Mwananchi04 May
Upendo usio na mrejesho unaua uzalendo
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Dk Slaa: Uswahiba wa JK, Kawambwa unaua elimu
10 years ago
CloudsFM24 Mar
KIFUA KIKUU NI UGONJWA ULIO GUNDULIKA UNAUA WATU ZAIDI YA MILIONI 1 DUNIANI
![](http://api.ning.com/files/qhmaNpdkdBseM8rcov1OeaUwb3a1MWeB0Gnv4LGB7wDRGCkKzIYsm*4mbDnGcAmha-BelDIMoO26mrSqOek3TwHKUE2jsEGG/kifua2.jpg)
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Ukata waikumba tenisi
TIMU ya Taifa ya Tenisi Walemavu imewaomba wadau mbalimbali kuwasaidia kiasi cha Dola za Marekani 1500 kwa ajili ya kushiriki michuano ya wazi ya Kenya (Kenya Open) inayotarajia kufanyika mwezi huu nchini humo.
Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha wa timu hiyo Riziki Salum alisema wanataka kushiriki michuano hiyo ili waweze kutetea ubingwa wao walioupata mwaka jana.
Salum alisema mashindano hayo yatakuwa ya wiki moja na wanatakiwa kujigharamia kwa kila kitu kwa muda wote...