Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACCESSBANK YAZINDUA TAWI LAKE JIPYA MKOANI TABORA

Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh Fatma Abubakar Mwassa akikata utepe kuzindua rasmi tawi la AccessBank Tabora mnamo tarehe 15th March 2014. Wa kwanza kutoka kushoto ni Afisa Masoko mkuu mwandamizi wa benki hiyo Ndugu Muganyizi Bisheko akifatiwa na muwakilishi wa uongozi wa AccessBank Ndugu Emmanuel Venance. Waliosimama kushoto ni mkuu wa wilaya ya Tabora mh. Suleiman Kumchaya akifatiwa na Meneja wa Tawi hilo ndugu Enosy Ndobeji. Meneja wa Tawi la AccessBank Tabora ndugu Enosy Ndobeji akitoa neon...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MKOMBOZI BANK YAZINDUA TAWI JIPYA MOSHI MKOANI KILIMANJARO.

Baadhi ya wananchi wakishuhudia ufunguzi rasmi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akimwaga maji ya baraka katika jingo la Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.
Maeneo tofauti ya Benki hiyo kwa ndani.Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Mkombozi mjini MoshiBaadhi ya wafanyakzi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi wakiwa katika sare maalumu...

 

10 years ago

Michuzi

TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services yazindua tawi lake jipya wilayani Kwimba jijini Mwanza

TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo imepongezwa na serikali kwa hatua yake ya kufungua tawi wilayani Kwimba mkoani Mwanza.Meneja Mauzo wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services Kanda ya Ziwa, Lugano Kasambala, akimuelekeza jambo Katibu Tawala wa Wilaya Kwimba, Vicent Emmanuel, katika uzinduzi wa tawi jipya wilayani humo, uliofanyika Machi 2 mwaka huu. Wengine ni maofisa wa taasisi hiyo, Ramadhan Hanafi na Monica Mwangoka. Picha na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

FNB yazindua tawi jipya Kimweri

FIRST National Bank Tanzania (FNB), imezindua rasmi tawi jipya la Kimweri Msasani jijini Dar as Salaam ikiwa ni sehemu ya kusogeza huduma zake karibu na wateja na kuboresha sekta ya...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAZINDUA TAWI JIPYA WILAYANI MUHEZA, TANGA

Mashabiki wa Yanga wakiwa katika uzinduzi wa tawi lao wilayani Muheza, Tanga.…

 

9 years ago

Vijimambo

BENKI YA STANBIC YAZINDUA TAWI LAKE JIJINI MBEYA

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Benki ya Stanbic tawi la Mbeya katika hafla iliyofanyika hivi karibuni.Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa jengo la Benki ya Stanbic tawi la Mbeya katika hafla iliyofanyika hivi karibuni.Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyerembe Munasa akitembezwa katika ofisi za benki ya Stanbic baada ya kuzindua rasmi kutokana na kukamilika kwa ukarabati.Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyirembe Munasa...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA TAWI JIPYA MKOANI KIGOMA

Benki ya NMB imezindua rasmi tawi lake jipya mjini Kigoma. Uzinduzi wa tawi hilo lililoko katika jengo la Bima barabara ya Lumumba katika jengo la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ulifanyika mwishoni mwa wiki. Aidha, tawi hilo lililo mkabala na Soko Kuu la Kigoma, limelenga kutoa huduma kwa watu binafsi na wakazi wengi wa maeneo hayo hususan wafanya biashara ndogo ndogo.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bw.Ramadhani Maneno alisema tawi hilo litasaidia...

 

9 years ago

Michuzi

NMB YAZINDUA RASMI JENGO LAKE JIPYA LA MAKAO MAKUU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo jipya la makao makuu ya NMB na tawi jipya la NMB Private Banking kwenye jengo la makao makuu ya NMB jana jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia tukio hilo ni Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa NMB – Prof. Joseph Semboja(kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa NMB – Ineke Bussemaker (wapili kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam – Saidi Meck Sadiki (kulia) pamoja na wafanyakazi wa NMB.

 

9 years ago

Dewji Blog

Stanbic Tanzania yazindua tawi mkoani Mbeya

3

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Bw.Nyerembe Munasa (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa tawi la Benki ya Stanbic tawi la Mbeya uliofanyika mwishoni mwa wiki kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo Hatib Senkoro na kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Stanbic Tanzania Bw. Ken Cockerill.

PICTURE 7

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Bw.Nyerembe Munasa (katikati) akisoma maandishi ya bango lililopo kwenye benki ya Stanbic tawi la Mbeya muda mfupi baada ya kulizindua mwishoni mwa wiki  kulia kwake ni...

 

10 years ago

Michuzi

Bayport Financial Services yazidi kuchanja mbuga, yazindua tawi la 80 wilayani Ileje, mkoani Mbeya

TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo kwa watumishi wa wa umma na kampuni zilizoidhinishwa, mwishoni mwa wiki ilizindua tawi lake jipya la 80 wilayani Ileje, mkoani Mbeya, huku Mkuu wa wilaya hiyo, Rosemary Staki Senyamule, akiwataka wananchi wake kukopa kwa sababu maalum.Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Rosemary Senyamule kulia, akionyeshwa nyaraka za ofisi ya Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, inayojihusisha na mambo ya mikopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani