FNB yazindua tawi jipya Kimweri
FIRST National Bank Tanzania (FNB), imezindua rasmi tawi jipya la Kimweri Msasani jijini Dar as Salaam ikiwa ni sehemu ya kusogeza huduma zake karibu na wateja na kuboresha sekta ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 May
FNB yafungua tawi jipya Kariakoo
Katika kukuza na kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakati, Benki ya FNB Tanzania imefungua tawi jipya Kariakoo, Jijini Dar es Salaam ambalo litakuwa na kazi ya kutoa huduma za kibenki kwa watu mbalimbali wakiwamo wafanyabiashara wadogo na wa kati.
11 years ago
MichuziFNB Yafunguwa tawi jipya la Kariakoo,jijini Dar
Mkurugenzi mkuu wa benki ya FNB Tanzania Bw. Dave Aitken akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa tawi jipya la Benki hiyo,lililopo Kariakoo jijini Dar es salaam.kushoto ni Msimamizi wa Masuala ya Athari na Tahadhari wa benki ya FNB Tanzania, Bw. Silvest Arumasi, na kulia ni Afisa Msimamizi Mkuu wa fedha wa benki hiyo, Bw. Luke Woodford.
Katika kukuza na kusaidia wafanya biashara wadogo na wakati benki ya FNB Tanzania imefungua tawi jipya la kariakoo, ambalo...
Katika kukuza na kusaidia wafanya biashara wadogo na wakati benki ya FNB Tanzania imefungua tawi jipya la kariakoo, ambalo...
10 years ago
GPLYANGA YAZINDUA TAWI JIPYA WILAYANI MUHEZA, TANGA
Mashabiki wa Yanga wakiwa katika uzinduzi wa tawi lao wilayani Muheza, Tanga.…
11 years ago
MichuziACCESSBANK YAZINDUA TAWI LAKE JIPYA MKOANI TABORA
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh Fatma Abubakar Mwassa akikata utepe kuzindua rasmi tawi la AccessBank Tabora mnamo tarehe 15th March 2014. Wa kwanza kutoka kushoto ni Afisa Masoko mkuu mwandamizi wa benki hiyo Ndugu Muganyizi Bisheko akifatiwa na muwakilishi wa uongozi wa AccessBank Ndugu Emmanuel Venance. Waliosimama kushoto ni mkuu wa wilaya ya Tabora mh. Suleiman Kumchaya akifatiwa na Meneja wa Tawi hilo ndugu Enosy Ndobeji.
Meneja wa Tawi la AccessBank Tabora ndugu Enosy Ndobeji akitoa neon...
9 years ago
VijimamboMKOMBOZI BANK YAZINDUA TAWI JIPYA MOSHI MKOANI KILIMANJARO.
Baadhi ya wananchi wakishuhudia ufunguzi rasmi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akimwaga maji ya baraka katika jingo la Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.
Maeneo tofauti ya Benki hiyo kwa ndani.Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Mkombozi mjini MoshiBaadhi ya wafanyakzi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi wakiwa katika sare maalumu...
Maeneo tofauti ya Benki hiyo kwa ndani.Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Mkombozi mjini MoshiBaadhi ya wafanyakzi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi wakiwa katika sare maalumu...
10 years ago
MichuziTAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services yazindua tawi lake jipya wilayani Kwimba jijini Mwanza
TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo imepongezwa na serikali kwa hatua yake ya kufungua tawi wilayani Kwimba mkoani Mwanza.Meneja Mauzo wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services Kanda ya Ziwa, Lugano Kasambala, akimuelekeza jambo Katibu Tawala wa Wilaya Kwimba, Vicent Emmanuel, katika uzinduzi wa tawi jipya wilayani humo, uliofanyika Machi 2 mwaka huu. Wengine ni maofisa wa taasisi hiyo, Ramadhan Hanafi na Monica Mwangoka. Picha na...
9 years ago
MichuziFIRST NATIONAL BANK (FNB) YAFUNGUA TAWI MBEZI BEACH JIJINI DAR
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya First National la Mbezi Beach jana jijini Dar es salaam huku akiambatana na Balozi wa Heshima wa Djibouti Said Shamo na Mkuu wa Huduma za Rejareja wa benki hiyo, Francois Botha. Mkuu wa Bidhaa na Huduma za Mitandao, Silvest Arumasi akimpa maelekezo Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda mara baada ya kufungua rasmi tawi la benki ya First National la Mbezi Beach jana jijini Dar es salaam....
11 years ago
MichuziBalozi Seif Ali Idd awapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni,Bumbini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi amewapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni Jimbo la Bumbwini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM lenya hadhi ya Chama chenyewe.
Balozi Seif alisema hayo wakati akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni moja kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa ya kusaidia harakati za ujenzi wa Jengo hilo mchango alioukabidhi kwa uongozi wa Tawi hilo hapo Ofisini...
Balozi Seif alisema hayo wakati akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni moja kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa ya kusaidia harakati za ujenzi wa Jengo hilo mchango alioukabidhi kwa uongozi wa Tawi hilo hapo Ofisini...
10 years ago
KwanzaJamii04 Sep
AL-QAEDA YAFUNGUA TAWI JIPYA INDIA
Kiongozi wa kundi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahir
Kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri amesema kuwa wamefungua tawi jipya la mtandao huo wa kigaidi nchini India ikiwa ni jitihada za kuhakikisha wanapandisha bendera za Jihad kusini mwa bara la Asia.
Taarifa zinasema kuwa picha za video za tangazo hilo zinasema kuwa hiyo ni hatua ya kuimarisha dola ya Kiislam ambao kwa sasa unashikilia eneo kubwa la Iraq na Syria.
Zawahiri amesema kuwa nguvu mpya ya mtandao inalenga...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania