Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACHENI RUSHWA TUISAIDIE NCHI IPATE MAENDELEO -DK.MAGUFULI.

   Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli  akizungumza katika ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi wa wizara Ujenzi katika Hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam leo.Mhandisi Mussa Lyombe akizungumza leo jijini Dar es Salaam,katika ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara ya ujenzi. Baraza la wafanyakazi wa wizara ya ujenzi waliohudhuria katika  ufunguzi wa baraza hizo leo jijini Dar es Salaam.Picha ya pamoja ya waziri wa Ujenzi  pamoja na  Baraza la wafanyakazi wa wizara ya ujenzi....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

‘Tumuombe Mungu nchi ipate katiba ya wengi’

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk Barnabas Mtokambali amesema vyama vya siasa haviwezi kuwa suluhisho la kupatikana kwa Katiba mpya bali kinachotakiwa ni kumuomba Mungu ili nchi ipate katiba yenye maslahi ya wengi na si kwa ajili ya kundi dogo la watu.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZUWIA RUSHWA NI WALARUSHWA WAKUBWA!!!! HII INACHEKESHA - NCHI HII IMEKWISHA - RUSHWA TOP TO BOTTOM!!!

Dk Edward Hoseah, Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)Licha Kama hajatawala mwendawazimu mmoja na akawafyeka vitanzi akina Chenge na wenziwe, nchi hii itabakia na rushwa milele! Wamo pia maofisa TRA, mahakimu na majaji Vyombo vya habari vyapongezwa�'vikaze buti'ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kutakiwa kuzuia rushwa, maofisa wake wametajwa kuwa vinara wa kula rushwa, utafiti umebaini.Aidha, utafiti uliofanywa na Afrobarometer umebaini kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi acheni fitina, leteni maendeleo-Kinana

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewashukia viongozi wa chama hicho wilayani hapa na kuwaelezea kuwa ndio chanzo cha kushuka kwa kasi ya maendeleo.

 

9 years ago

Press

Mkutano wa 10 wa uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)

Picha na 1

Picha na 2

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akifunga Mkutano wa 10 wa  uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) kwa niaba ya Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo jana. Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa mkutano huo baada  ya  kuonekana kufanya vizuri katika uhamaji wa matumizi ya mfumo wa analogia kwenda digitali kwa wakati.

Picha na 3

Mkurugenzi wa Idara...

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli: Acheni wivu

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewataka wahandisi kuacha kuoneana wivu na kupeana kazi ili kudumisha uzalendo katika ujenzi wa miradi mbalimbali hususan ya barabara.

 

5 years ago

Michuzi

INNOCENT KALOGERIS :VIONGOZI WA UPINZANI ACHENI KUICHAFUA NCHI KIMATAIFA RUDI NYUMBANI TUZUNGUMZE


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Innocent Kalogeris amewataka Viongozi wa Vyama vya Upinzani nchini wanaozunguka ughaibuni Nchi mbalimbali wakiiachafua Nchi na Rais Magufuli warudi Nyumbani kwa ajili ya Majadiliano

Ameyasema Hayo wakati wa Hafla ya kuwapokea na kuwakabidhi Kadi rasmi madiwani wawili na wanachama Kadhaa wa Upinzani walioamua kurudi CCM wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu CCM Taifa Dr Bashiru Ally akiwa Morogoro Vijijini hafla imefanyika Ofisi za CCM Mkoa wa Morogoro Mtaa wa Saba...

 

10 years ago

Mwananchi

Rushwa inavyoathiri miradi ya maendeleo

Dar es Salaam. Pikipiki ya Kikosi cha Usalama Barabarani iliyokuwa inaongoza msafara wa kiongozi mmojawapo wa juu serikalini, inafunga breki ghafla baada ya kukata kona kuingia eneo mojawapo, Tabata jijini Dar es Salaam

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tusipokemea rushwa tutaiangamiza nchi yetu

TANZANIA hivi sasa inakabiliwa na rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ambayo kwa kiasi kikubwa yamechangia kusuasua kwa maendeleo. Baaadhi ya Watanzania wenzetu wamekuwa na tabia ya kuwakejeli viongozi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani