ACT waandaa mkutano wa ujenzi wa taifa
Chama cha ACT-Wazalendo kimeandaa mkutano utakaohusu ujenzi wa taifa huru la kidemokrasia na maendeleo endelevu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziBARAZA LA TAIFA LA UJENZI KATIKA MKUTANO WA 13 WA BODI YA USAJIRI YA WAHANDISI TANZANIA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/1.Kutoka-kushoto-ni-KATIBU-MKUU-WA-JUMUIYA-YA-WAISLAM-SEIF-HASSAN-MISSIONARY-INCHARGE-TAHIR-MAHMOOD-NA-KATIBU-MSAIDIZI-ABDULRAHMAN-AME.jpg)
JUMUIYA YA AHMADIYYA WAANDAA MKUTANO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJJAP3s2WWBLAFucOQfLHpht*NuibuDKJUlII5jGuJry5QrMdO3VzukAFXQsIv4ykP1SXDNrBsJ7sIx5AonKFXgG/ACT.jpg)
UZINDUZI WA ACT NA MKUTANO MKUU KUFANYIKA MACHI 28 NA 29
10 years ago
MichuziACT WALIPOFANYA MKUTANO WAO MKUU JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboMAMIA WAHUDHURIA MKUTANO WA ACT-WAZALENDO MKOANI MWANZA
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA ACT CHAFANYA MKUTANO MKOANI SHINYANGA
Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Anna Mngwhira, akiwahutubia wakazi wa mji wa Kahama Mkoani Shinyanga jana kwenye viwanja vya CDT,wakati wa mkutano wa chama hicho wakutafuta uungwaji mkono kwa wananchi. (Picha na Said Powa)
10 years ago
MichuziMKUTANO WA ACT WAZALENDO JIMBO LA MOROGORO MJINI LEO
viongozi wa kitaifa wa ACT wazalendo wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano wa hadhara jimbo la Morogoro mjini leo
Picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
ACT kufanya mkutano mkuu Novemba 20 mwaka huu
CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance, (ACT-Tanzania), kinatarajia kufanya mkutano mkuu maalum wa Taifa wa chama hicho Novemba 20 mwaka huu. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa muda...
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
Maelfu wafurika mkutano wa utambulisho wa viongozi wa ACT Mpanda
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake.
Wanampanda wakishangilia hotuba ya Zitto Kabwe wakati wa utambulisho wa viongozi wa chama hicho mjini Mpanda.
Mwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara ya kutambulisha viongozi wake.