ACT-Wazalendo waja na Operesheni Majimaji
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza operesheni Majimaji katika majimbo 59 yaliyopo katika mikoa 19 nchini ikiwa na lengo la kukiwezesha kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa udiwani, ubunge na Rais wa Oktoba 25 mwaka huu.
Operesheni hiyo ni moja ya maazimio ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho iliyokutana Mei 23 na 24 mwaka huu chini ya Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira na kiongozi wake, Zitto Kabwe.
Taarifa iliyolewa jana na Ofisa Habari wa ACT Wazalendo,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania07 May
ACT- Wazalendo waja na siasa mpya
Na Mwandishi Wetu, Iringa
CHAMA cha Alliance for Change and Transparence (ACT-Wazalendo), kimeibuka na mikakati mipya ikiwemo kuhamasisha kuanzisha kampeni maalumu ya kuwataka Watanzania kujiandikisha katika daftari la Kudumu la Wapiga kura kupitia mfumo wa elekroniki (BVR), kwa matangazo ya redio.
Hatua hiyo inaelezwa kuwa huenda ikabadili hali ya kisiasa ambapo vyama vingine vimekuwa vikitumia zaidi mikutano ya hadhara lakini chama hicho sasa kimebuni njia mpya ya kutangaza kupitia njia...
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO
9 years ago
TheCitizen19 Aug
ACT-Wazalendo yet to get Ikulu candidate
9 years ago
Mwananchi04 Oct
ACT Wazalendo kuimarisha kilimo
9 years ago
Mwananchi01 Oct
ACT Wazalendo: Muungano ni maridhiano
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Siku 10 za kampeni za ACT-Wazalendo
10 years ago
TheCitizen27 Jul
Act-Wazalendo to go it alone in polls, Zitto says
9 years ago
Mwananchi19 Sep
Wanachama CCM watimkia ACT- Wazalendo
10 years ago
Mtanzania28 May
Zitto awaonya viongozi ACT-Wazalendo
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameionya sekretarieti ya uongozi wa chama hicho na kuitaka kuishi kwa maadili kwa kuzingatia katiba ya chama na kuitekeleza kwa vitendo.
Amesema uadilifu umekuwa ni changamoto kubwa katika nchi hali inayowafanya watanzania washindwe kuaminiana katika masuala mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi alipofungua mkutano wa kwanza wa sekretarieti ya uongozi wa chama hicho.
Alisema iwapo watashindwa kuishi...