Action Aid laendesha Bonaza la kuelimisha nguvu ya kodi kwa vijana
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipofariki Dunia Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limemkumbuka Baba wa Taifa kwa kutoa Elimu na maelezo ya kutosha juu ya Kodi na Nguvu yake katika kuchangia maendeleo ya Taifa letu na kukuza uchumi.
Mkurugenzi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSHULE 30 ZAUNGANISHWA NA SHIRIKA LA KIMATAIFA LISILO LA KISERIKALI LA ACTIVISTA TANZANIA PAMOJA NA ACTION AID KUWEZA KUWAFAHAMISHA KUHUSU NGUVU YA KODI KWA VIJANA
10 years ago
TheCitizen21 Oct
IMF mulls action to fix Dar Budget after aid cut
9 years ago
StarTV11 Sep
Programu ya kuelimisha vijana kuimarisha amani yaandaliwa Zanzibar
Wizara ya uwezeshaji visiwani Zanzibar imetumia ujumbe wa siku ya kimataifa ya vijana wa kuimarisha ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika shughuli za kiraia kwa kuendesha programuu maalum itakayowaelimisha vijana kuimarisha amani na utulivu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Mafunzo hayo yatasaidia vijana kujielewa na kuwa mstari wa mbele katika kutetea Taifa lao kutokana na mchango wao mkubwa katika jamii.
program hiyo itakayokwenda sanjari na kauli mbiu isemayo vijana maamzi yako...
11 years ago
Bongo512 Aug
Siku ya Vijana Duniani: ‘Vijana na Afya ya Akili’, Tusipokabiliana na ukosefu wa ajira na kupewa nguvu ya maamuzi, hatutaweza
9 years ago
Raia Mwema02 Sep
Kama chama changu kinataka kushinda, kishinde kwa nguvu ya hoja si kwa nguvu ya dola
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
10 years ago
GPLJESHI LA POLISI LAENDESHA MSAKO MKALI KWA WALIOWAUA ASKARI WAWILI
10 years ago
Dewji Blog31 Aug
Shirika la Sweden ‘RFSU’ laendesha mafunzo ya azazi ujinsia kwa wandishi wa habari 35 nchini
Meneja wa project ya TMEP, Cuthbert Maendaenda akitoa mada yake ya ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia wakati akitoa mafunzo kwa waandishi wa mikoa ya Singida na Rukwa. Mafunzo hayo ya siku tatu,yamefanyikia kwenye ukumbi wa mikutano wa Kalenga West Park Motel and Tours mjini Iringa.
Na Nathaniel Limu, Iringa
JUMLA ya waandishi wa habari 35 kutoka mikoa ya Rukwa na Singida wamehudhuriahudhuria mafunzo yanayohusu ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya...
10 years ago
Mtanzania26 Mar
‘Vijana wengi hawana nguvu za kiume’
Patricia Kimelemeta na Asifiwe George
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR),imesema vijana wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea, wanaongoza kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,Mkurugenzi wa NIMR,Dk.Mwele Malecela alisema kwa sasa tatizo hilo ni kubwa ambalo linawakumba vijana wengi hususan barani Afrika.
Alisema hali hiyo,imesababisha vijana hao kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume aina ya...
10 years ago
Mwananchi18 Jun
Nguvu kazi ya vijana haijatumika kikamilifu nchini
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10