Nguvu kazi ya vijana haijatumika kikamilifu nchini
Sensa ya mwaka 2012 inaonyesha kuwa nguvu kazi ya Tanzania Bara, yaani wananchi wenye umri wa miaka 15 hadi 64 ni milioni 22.8.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo512 Aug
Siku ya Vijana Duniani: ‘Vijana na Afya ya Akili’, Tusipokabiliana na ukosefu wa ajira na kupewa nguvu ya maamuzi, hatutaweza
5 years ago
MichuziNAIBU SPIKA WA BUNGE DK.TULIA AUPONGEZA UBALOZI WA UFARANSA NCHINI TANZANIA KWA JITIHADA ZAKE ZA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KULETA MAENDELEO
11 years ago
Dewji Blog10 Oct
Baada ya kutikisa nchini Oman, Skylight Band warejea nchini kutoa burudani ya nguvu Ijumaa ya leo
Baada ya Safari ndefu ya nchini Oman ambako Bendi Inayotikisa nchini kwa sasa Skylight Band walitoa Burudani ya Nguvu huko ughaibuni na kuacha historia isiyofutika kirahisi, Sasa Bendi yako imerejea nchini Tanzani. Leo Kama kawaida yetu Skylight Band tutakuwa kiwanja cha nyumbani Thai Village kukuletea burudani ya nguvuuu kabisaaaaa ikiwa na kikosi kamili na masong mapyaaaaa,Usikose Leo kuanzia Sa Tatu Kamilii……
Divas wa Skylight Band walisongesha vya kutosha kutoa burudani ya nguvu...
11 years ago
GPLBAADA YA KUTIKISA NCHINI OMAN, SKYLIGHT BAND WAREJEA NCHINI KUTOA BURUDANI YA NGUVU IJUMAA YA LEO
10 years ago
Mtanzania26 Mar
‘Vijana wengi hawana nguvu za kiume’
Patricia Kimelemeta na Asifiwe George
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR),imesema vijana wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea, wanaongoza kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,Mkurugenzi wa NIMR,Dk.Mwele Malecela alisema kwa sasa tatizo hilo ni kubwa ambalo linawakumba vijana wengi hususan barani Afrika.
Alisema hali hiyo,imesababisha vijana hao kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume aina ya...
10 years ago
Michuzi
Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...
10 years ago
Habarileo21 Dec
Nguvu kazi Magereza ni asilimia 11
MKUU wa Jeshi la Magereza mkoa wa Morogoro, Dk Kato Rugainunura alisema Jeshi la Magereza lina nguvu kazi asilimia 11 tu huku watu wengine wakiwa ni mahabusu ambao hawazalishi zaidi ya kutegemea Jeshi hilo kwa huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na chakula na matibabu.
11 years ago
Michuzi.jpg)
Vijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
LHRC: Adhabu ya kifo inapoteza nguvu kazi
MKURUGENZI wa Utetezi na Maboresho kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia, amesema adhabu ya kunyongwa inachangia kupoteza nguvu kazi nchini. Sungusia alitoa kauli hiyo mjini...