Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Programu ya kuelimisha vijana kuimarisha amani yaandaliwa Zanzibar

Wizara ya uwezeshaji visiwani Zanzibar imetumia ujumbe wa siku ya kimataifa ya vijana wa kuimarisha ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika shughuli za kiraia kwa kuendesha programuu maalum itakayowaelimisha vijana kuimarisha amani na utulivu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Mafunzo hayo yatasaidia vijana kujielewa na kuwa mstari wa mbele katika kutetea Taifa lao kutokana na mchango wao mkubwa katika jamii.

program hiyo itakayokwenda  sanjari na kauli mbiu isemayo   vijana maamzi yako...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANI, USALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Vijana wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo kulia Ali Hamad Suleiman na Rukaiya Rashid Kombo. uliofanyika katika ukumbi wac hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar na kufunguliwa na Balozi Ali Ali Iddi kwa niaba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliowashirikisha Marais Wastaafu, Viongozi wa Dini na Vijana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanahabari waombwa kuelimisha umuhimu wa amani

WAANDISHI wa habari mkoani Mtwara, wametakiwa kutumia kalamu zao kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa usalama na amani nchini kwani hicho ndicho kitu cha msingi katika maisha ya binadamu. Rai hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la GPF laandaa kongamano kubwa la vijana la kujadili amani, kufanyika Zanzibar kuanzia julai 12, 2015


Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe.2

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kongamano kubwa la vijana  litakalofanyika Zanzibar kwa kipindi cha mwezi mzima kuanzia Julai 12 mwaka huu. Kongamano hilo litahudhuriwa na marais wastafu na viongozi maarufu. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa GPF nchini, Martha Nghambi na Mratibu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA GLOBAL PEACE FOUNDATION (GPF) LAANDAA KONGAMANO KUBWA LA VIJANA LA KUJADILI AMANI, KUFANYIKA ZANZIBAR KUANZIA JULAI 12, 2015

  Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe. Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kongamano kubwa la vijana  litakalofanyika Zanzibar kwa kipindi cha mwezi mzima kuanzia Julai 12 mwaka huu. Kongamano hilo litahudhuriwa na marais wastafu na viongozi maarufu. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa GPF nchini, Martha Nghambi na Mratibu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Action Aid laendesha Bonaza la kuelimisha nguvu ya kodi kwa vijana

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo  akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati  baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipofariki  Dunia  Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limemkumbuka Baba wa Taifa kwa kutoa Elimu na maelezo ya kutosha juu ya Kodi na Nguvu yake katika kuchangia maendeleo ya Taifa letu na kukuza uchumi.  Mkurugenzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali kuwashirikisha vijana katika programu za maendeleo

DSC_0069

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dkt Natalia Kanem akizungumza wakati wa maadhimisho hayo ya siku ya kimataifa ya vijana duniani kwenye viwanja vya  Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Kushoto ni Mgeni Rasmi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Bibi Venerose Mtenga na kulia ni Mtaalamu wa Programu za Vijana kutoka UNFPA, Tausi Hassan.( Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

.Siku ya vijana duniani na ujumbe  wa “Vijana...

 

11 years ago

Michuzi

kampuni ya kuzalisha umeme ya SYMBION KUSAIDIA PROGRAMU ZA VIJANA TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Symbion Power Tanzania Limited zimesaini makubaliano ambapo kampuni hiyo itasaidia kwenye maeneo matatu ya mpira wa miguu wa vijana. Makubaliano hayo yametiwa saini leo (Februari 26 mwaka huu) kwenye ofisi za TFF jijini Dar es Salaam. Rais wa TFF, Jamal Malinzi amesaini kwa niaba ya shirikisho wakati upande wa Symbion aliyesaini ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Peter Gathercoles. Maeneo ambayo Symbion itasaidia ni ujenzi wa vituo...

 

10 years ago

Michuzi

Programu ya kujitolea kwa Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu yamalizika leo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel akiongea na wahitimu wa programu ya kujitolea wa Vyuo Vikuu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa VSO International Tanzania Bw. Jean Van Wetter. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habar i Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel katikati akimpa Cheti Dada Ndidi Tumpe wakati wa kuhitimisha Programu ya kujitolea kwa Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya amani: Kagame na Museveni wakutana mpakani kuimarisha uhusiano

Rais Yoweri Museveni wa Uganda na mwenzake Paul Kagame wa Rwanda walikutana katika mpaka wa Gatuna kabla ya mazungumzo kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani