Adebayor reveals Villas-Boas row

Tottenham Hotspur's Togolese striker Emmanuel Adebayor reveals the extent of his row with former Spurs manager Andre Villas Boas.
BBC
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
VILLAS-BOAS WA TOTTENHAM ATIMULIWA
Andre Villas-Boas. KOCHA wa Tottenham Hotspur ya Uingereza, Andre Villas-Boas, amefukuzwa kazi jana kwa kile klabu ilichosema “kwa niaba ya maslahi ya pande zote mbiliâ€Â na ambapo mwenyekiti wa klabu hiyo, Levy, anaaminika atamtaja kocha mpya hivi karibuni.
Andre Villas-Boas amefukuzwa baada ya kipigo kutoka Liverpool cha magoli 5-0 kilichofanyika katika dimba la White Hart Lane. ...
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Villas- Boas kujiunga na St.Petersberg
Baada ya kutimuliwa na Spurs hatimae Andre Villas-Boas anatarajiwa kujiunga na St.Petersburg ya Urusi
10 years ago
BBC
Adebayor reveals issues on Facebook
Tottenham and Togo striker Emmanuel Adebayor has used Facebook to write about his personal family issues.
10 years ago
GPL
SAKATA LA ADEBAYOR NA FAMILIA YAKE: ADEBAYOR KUMWAGA 'UBUYU' MWINGINE WA MDOGO WAKE ROTIMI
Adebayor ametupia picha hii Facebook na kuahidi kutoa sehemu ya 2 ya stori ya kaka yake Rotimi. SAKATA la straika wa Klabu ya Tottenham ya nchini Uingereza, Emmanuel Adebayor na familia yake limechukua sura mpya ambapo staa huyo ameahidi kutoa sehemu ya pili ya stori 'ubuyu' mwingine kuhusu kaka yake mwingine aitwaye Rotimi Adebayor muda muafaka ukifika. Adebayor ameahidi kutoa ubuyu huo ikiwa ni siku chache tangu aachie waraka...
11 years ago
BBCSwahili16 Dec
Tottenham yamfukuza kocha Boas
Klabu Tottenham imemtimua kocha wake Andre Villas Boas siku moja baada ya Tottenham kupata kichapo cha magoli 5- 0 kutoka Liverpool. o
11 years ago
Dewji Blog03 May
Audio ya mahijiano na Profesa Boas kuhusu muungano

Profesa Boas akiwa na Cheif wa swahilivilla Abou Shatry baada ya Mahojiano siku ya Ijumaa Mei 2, 2014 Maryland Nchini Marekani.
Sikiliza Audio ya Mahojiano kuhusu Muungano na Profesa Boas ambaye ni Mwalimu wa Mawasiliano na Sera (Communication and Public Policy) University of Maryland University College Washington DC.
10 years ago
BBC
Saintfiet would 'welcome' Adebayor
Togo coach Tom Saintfiet hopes striker Emmanuel Adebayor will discuss making a return to the national team.
10 years ago
BBC
Dark moments behind me - Adebayor
Tottenham and Togo striker Emmanuel Adebayor says he is working hard to regain his form after going through a difficult time.
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Nimerejea asema Adebayor
Mshambulizi wa Tottenham Hotspurs raiya wa Togo Emmanuel Adebayor, amesema kuwa matatizo yaliyokuwa yanamsumbua yamekwisha
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
09-May-2025 in Tanzania