Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Villas- Boas kujiunga na St.Petersberg

Baada ya kutimuliwa na Spurs hatimae Andre Villas-Boas anatarajiwa kujiunga na St.Petersburg ya Urusi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VILLAS-BOAS WA TOTTENHAM ATIMULIWA

Andre Villas-Boas. KOCHA wa Tottenham Hotspur ya Uingereza, Andre Villas-Boas, amefukuzwa kazi jana kwa kile klabu ilichosema “kwa niaba ya maslahi ya pande zote mbili”  na ambapo mwenyekiti wa klabu hiyo, Levy, anaaminika atamtaja kocha mpya hivi karibuni. Andre Villas-Boas amefukuzwa baada ya kipigo kutoka Liverpool cha magoli 5-0 kilichofanyika katika dimba la White Hart Lane. ...

 

11 years ago

BBC

Adebayor reveals Villas-Boas row

Tottenham Hotspur's Togolese striker Emmanuel Adebayor reveals the extent of his row with former Spurs manager Andre Villas Boas.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tottenham yamfukuza kocha Boas

Klabu Tottenham imemtimua kocha wake Andre Villas Boas siku moja baada ya Tottenham kupata kichapo cha magoli 5- 0 kutoka Liverpool. o

 

11 years ago

Dewji Blog

Audio ya mahijiano na Profesa Boas kuhusu muungano

Untitled 000

Profesa Boas akiwa na Cheif wa swahilivilla Abou Shatry baada ya Mahojiano siku ya Ijumaa Mei 2, 2014 Maryland Nchini Marekani. 

Sikiliza Audio ya Mahojiano kuhusu Muungano na Profesa Boas ambaye ni Mwalimu wa Mawasiliano na Sera (Communication and Public Policy) University of Maryland University College Washington DC.

 

10 years ago

Michuzi

MAKONDA AWAHIMIZA WASANII KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA: Awataka kutumia taaluma yao kuhamasisha wengine kujiunga

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amesema wakati sasa umefika kwa wasanii kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, badala ya kuendelea kuchangishana fedha za matibabu kila wanapougua.
Amesema kutokana na kupanda kwa gharama za maisha hivi sasa zikiwemo za matibabu, wasaani wana kila sababu ya kuona umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili wanapougua watibiwe kwa kutumia kadi badala ya kuhangaika kutafuta fedha taslimu.
Makonda alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MUHEZA WAHAMASIKA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII, ZAIDI YA KAYA 65 ZENYE WANACHAMA 390 WAHAMASIKA NA KUJIUNGA PAPO HAPO

  Mkuu wa wilaya ya Muheza Subira Mgalu kushoto akipokea risiti ya malipo mara baada ya kujiunga kuwa mwanachama wa mfuko wa afya ya Jamii (CHF) leo wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo iliyofanyika kwenye Kata ya Potwe wilayani humo anayemkabidhi risiti hiyo ni Afisa Tabibu wa Zahanati ya Potwe wilayani humo Dr.Samweli Mudhihiri ambapo zaidi ya kaya 65 zenye wanachama 390 walihamasika na kujiunga papo hapo. PICHA ZOTE NA OSCAR ASSENGA,TANGA.  Picha namba moja ni  Mkuu wa wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani