VILLAS-BOAS WA TOTTENHAM ATIMULIWA

Andre Villas-Boas. KOCHA wa Tottenham Hotspur ya Uingereza, Andre Villas-Boas, amefukuzwa kazi jana kwa kile klabu ilichosema “kwa niaba ya maslahi ya pande zote mbiliâ€Â na ambapo mwenyekiti wa klabu hiyo, Levy, anaaminika atamtaja kocha mpya hivi karibuni. Andre Villas-Boas amefukuzwa baada ya kipigo kutoka Liverpool cha magoli 5-0 kilichofanyika katika dimba la White Hart Lane. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Villas- Boas kujiunga na St.Petersberg
11 years ago
BBC
Adebayor reveals Villas-Boas row
11 years ago
BBCSwahili16 Dec
Tottenham yamfukuza kocha Boas
11 years ago
Dewji Blog03 May
Audio ya mahijiano na Profesa Boas kuhusu muungano

Profesa Boas akiwa na Cheif wa swahilivilla Abou Shatry baada ya Mahojiano siku ya Ijumaa Mei 2, 2014 Maryland Nchini Marekani.
Sikiliza Audio ya Mahojiano kuhusu Muungano na Profesa Boas ambaye ni Mwalimu wa Mawasiliano na Sera (Communication and Public Policy) University of Maryland University College Washington DC.
11 years ago
GPL
KOCHA WA SPURS ATIMULIWA
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Waziri atimuliwa Ghana
10 years ago
Mtanzania09 Jan
Kaseja atimuliwa Yanga
JUDITH PETER NA SAADA AKIDA
KLABU ya soka ya Yanga, imevunja mkataba wake na kipa, Juma Kaseja, kwa kushindwa kufuata kanuni na masharti yaliyowekwa na uongozi wa klabu hiyo, kuchelewa kuripoti kambini kwa saa 48 na kutohudhuria mazoezi.
Yanga ilitoa tahadhari kuwa mchezaji yeyote ambaye atashindwa kuripoti kambini ndani ya saa 48 na kukosa mazoezi bila ruhusa maalumu ya kocha, atakuwa amevunja mkataba wake na kujifukuzisha kazi.
Kaseja amekuwa mchezaji wa kwanza wa Yanga kukumbwa na adhabu...
10 years ago
GPL
MASOGANGE ATIMULIWA SAUZ!
9 years ago
Mtanzania02 Jan
Mlinzi wa Lowassa atimuliwa
*Ni ofisa usalama mwandamizi aliyepigana Vita ya Uganda
*Alikuwa ‘bodyguard’ wa Nyerere aliyemfia mikononi
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
ALIYEKUWA mlinzi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ofisa usalama mwandamizi, Aloyce Tendewa, amefukuzwa kazi.
Taarifa zilizolifikia MTANZANIA Jumamosi kutoka vyanzo vyake vya uhakika vilivyo serikalini, zimedai kuwa Tendewa amefukuzwa kazi na mwajiri wake ambaye ni Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) kwa kosa la kushindwa kutekeleza majukumu yake ya...