Afariki ndani ya sanduku akisafirishwa
Maafisa wa polisi nchini Uhispania wamemkamata raia mmoja wa Morroco baada ya nduguye ambaye alikuwa anasafrishwa hadi nchini Uhispania ndani ya sanduku kukosa hewa na nusra afariki.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
JOTI AJA NA "SANDUKU LA BABU"
MSANII wa Komedi Bongo Lucas Mhuvile ‘Joti’ ametengeneza filamu inayokwenda kwa jina la Sanduku la Babu. Msanii huyo anajivunia aina ya mfumo aliotumia katika kuandaa sinema hiyo kwa kuirekodi na kushiriki katika nafasi zote pekee yake na kuifanya kuwa filamu sawa na iliyoshirikisha wasanii wengi.
Filamu hiyo ambayo inaonekana ni ya maajabu ni kutokana na Teknolojia iliyotumika kwa nafasi zote kuchezwa na mhusika mmoja, ambapo Joti amecheza katika sinema ya Sanduku la Babu kucheza nafasi...
10 years ago
GPL
MWINGINE AFARIKI DUNIA! WALIOFUNGIWA NDANI MIAKA 10
Na Haruni Sanchawa
BINTI Muhadia Juma ambaye alikuwa mmoja wa watoto watatu waliofungiwa ndani ya nyumba kwa miaka kumi na mama yao mzazi, Mwasiti Ally katika Kijiji cha Kanga, wilayani Mafia amefariki dunia Aprili 15, mwaka huu.Huyu ni kijana wa pili kufariki dunia baada ya Ally Juma kuaga dunia hivi karibuni na kufanya aliyebaki hai kuwa mmoja, Mzee Juma. Mwili wa Muhadia Juma ukizikwa. Muhadia alichukuliwa kijijini kwao...
10 years ago
Habarileo21 Dec
Sanduku la kura lapeperushwa na upepo na kupigizwa ukutani
UPEPO mkali uliochukua sanduku lenye kura, kulipigiza ukutani na kupasuka ni moja ya matukio ya kushangaza yaliyotokea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
10 years ago
GPL
WA 3 WALIOFUNGIWA NDANI MIAKA 10 NA MAMA YAO MMOJA AFARIKI DUNIA
Na Haruni Sanchawa
Katika Gazeti la Uwazi Toleo Na. 893 wiki iliyopita, kuliandikwa habari ya kusikitisha yenye kichwa kisemacho; MAMA AWAFUNGIA NDANI WANAYE 3 KWA MIAKA 10. Ni habari ambayo ilizua gumzo kubwa nchini kutokana na mazingira yake kuwa ya kushtua. Marehemu Ally Juma enzi za uhai wake. Baada ya habari hiyo kutoka ambayo ilikuwa na lengo la kuisaidia familia hiyo, sasa habari mpya ni kwamba, mmoja wa watoto hao,...
5 years ago
Michuzi
TANZIA: BABA MZAZI WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, GEORGE SIMBACHAWENE AFARIKI DUNIA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro, wakati Mkuu huyo wa Jeshi alipoenda kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Waziri huyo, marehemu Boniface Simbachawene Mwataguluvala, Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, leo Aprili 17, 2020. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

10 years ago
Vijimambo
Perro Aguayo wa mixico afariki dunia akiwa ndani ya ulingo wa mieleka baada ya pigo moja

Pedro Aguayo Ramirez, aliyejulikana kwa jina la Hijo del Perro Aguayo, alianguka na kupoteza fahamu kwenye kamba za ulingoni baada ya kupigwa teke na mchezaji mieleka wa zamani wa WWE, Oscar Gutierrez, maarufu kama Rey Mysterio Jr. kwa mujibu wa video ya mechi hiyo.

10 years ago
GPLVIDEO YA MTOTO WA KIM NA KANYE, NORTH WEST AKIVUTWA PAMOJA NA SANDUKU LA NGUO YAVUTIA WENGI MTANDAONI
North West akivutwa akiwa amelala juu ya sanduku la nguo. VIDEO iliyowekwa katika mtandao wa Instagram na Khloe Kardashian ya mtoto wa dada yake, Kim Kardashian aitwaye North West imevutia watu wengi. Angalia video hiyo hapo juu. Video hiyo inamuonyesha North mwenye mwaka mmoja na miezi tisa akivutwa akiwa amelala juu ya sanduku la nguo kuelekea uwanja wa ndege.… ...
10 years ago
Michuzi
Filamu: Pata Filamu ya Joti Sanduku la Babu kupitia Mtandao

Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania iitwayo Joti Sanduku la Babu au Kununua na iwe yako kupitia mtandao.
Ili kuweza kuangalia au kununua kupitia Mtandao unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hii
http://www.proinpromotions.co.tz
Pia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao huo huo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania