AFCON:Usalama waimarishwa katika fainali
Usalama umeimarishwa kwa mechi ya fainali ya kombe la Afrika kati ya Ivory Coast na Ghana .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Usalama waimarishwa Maracana.
Usalama waimarishwa katika uwanja wa Maracana kufuatia jaribio la mashabiki kuruka ua kutizama mechi bila malipo
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
Usalama waimarishwa Afrika Kusini
Maafisa zaidi wa polisi wametumwa katika maeneo yenye mashambulio dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika Kusini.
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Nani kuandaa fainali za Afcon 2017?
Mwenyeji wa fainali za Afcon za mwaka 2017 atajulikana leo, Jumatano, kwa kuzipigia kura Algeria, Gabon na Ghana
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
Ivory Coast yatinga fainali za Afcon
Ivory Coast wamefuzu kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, Afcon baada ya kuilaza Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo 3-1
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
AFCON nusu fainali ni Congo na Ivory Coast
Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON, inaendelea leo hatua ya nusu fainali kwa Ivory Coast kupambana na DR Congo.
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
AFCON: Ayew aipaisha Ghana robo fainali
Ghana yafuzu kucheza robo fainali michuano ya Afcon wakiicharaza Afrika Kusini 2-1
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pPSIfXxESuz95xAVPeHKrUcDVJUY0vmIBujIqfjREBQKb33miCtr0HTniwaZazccXpci88Ka5cYokjKA8tNkR83HCxK*8QWk/afcon.jpg)
IVORY COAST YATINGA FAINALI AFCON 2015
Kipa wa DRC, Kidiaba akijaribu kuokoa mpira wa kichwa ulipigwa na Gervinho bila mafanikio. Hata hivyo mpira huo uliokolewa na mchezaji wa DRC ukielekea nyavuni. KIKOSI cha Ivory Coast kikiongozwa na nahodha wake, Yaya Toure kimefanikiwa kutinga katika fainali za michuano ya Afcon 2015 baada ya kuichapa DR Congo mabao 3-1 katika mechi ya nusu fainali iliyopigwa usiku huu Equitorial Guinea. Wafungaji wa mabao ya Ivory Coast...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kwvKg1TQ8fUbnvQln-pObzac4yK3L4U3lOzMF38sQkUvS6zkIEfK-C2WxzCwG5J*AQBNguFwwYtTwpQbdI5KwN3YBXfhNh2h/zambianacapeverde.jpg)
DRC, TUNISIA ZATINGA ROBO FAINALI AFCON 2015
Zambia wakikwaana na Cape Verde leo. TIMU za Tunisia na DR Congo zimefanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali Afcon 2015 kutoka Kundi B huku Cape Verde na Zambia zikiaga mashindano hayo yanayoendelea huko Equitorial Guinea. DRC wakimenyana na Tunisia. Timu hizo zimetinga hatua hiyo baada ya kutoka sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wao wa mwisho uliopigwa leo huku Zambia na Cape Verde wakitoka suluhu na kuondolewa. Zambia na… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania