Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afghanistan:Kura kuhesabiwa upya

Maafisa wa uchaguzi nchini Afghanistan wajiandaa kuhesabu kura zote millioni nane zilizopigwa katika uchaguzi wa urais.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kura kuhesabiwa upya Malawi

VUTA nikuvute ya Uchaguzi Mkuu nchini Malawi, inaendelea, ambapo sasa kura zitahesabiwa upya katika maeneo kadhaa, ambako imedhihirika idadi ya wapiga kura, haiwiani na idadi ya waliojiandikisha. Aidha, baadhi ya wanasiasa na wanasheria, wamepeleka malalamiko yao mahakamani, hivyo kuzidi kuchelewesha matokeo ya uchaguzi huo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kura kuhesabiwa upya leo nchini Malawiu

Nchini Malawi kura za uchaguzi mkuu zinatarajwa kuhesabiwa upya hii leo katika maeneo ambapo kura zinazidi waliosajiliwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kura zaanza kuhesabiwa Liberia

Kura zimeanza kuhesabiwa nchini Liberia ambapo uchaguzi wa Useneta umefanyika licha ya mlipuko wa ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kura zaanza kuhesabiwa Burundi

Shughuli ya kuhesabu Kura imeanza nchini Burundi kufuatia uchaguzi wa urais ambao umeshutumiwa na wengi nchini humo na hata kimataifa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kura zinaendelea kuhesabiwa Malawi

Hasira miongoni mwa wananchi na ghasia zilizozuka zilisababisha kutofanyika uchaguzi katika baadhi ya vituo vya kura nchini humo.

 

9 years ago

Habarileo

Kura Kahama kuhesabiwa kwa DC

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Underson Msumba amesema atalamizika kuhamishia shughuli za kuhesabu kura za urais, ubunge na udiwani kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kutokana na ofisi yake kuwa jirani na ofisi za vyama mbalimbali vya siasa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Afghanistan:Ukaguzi wa kura waahirishwa

Tume ya Uchaguzi nchini Afghanistan imeahirisha kwa mda ukaguzi wa makaratasi ya kupiga kura katika uchaguzi wa Urais.

 

10 years ago

BBCSwahili

Afghanistan:Abdullah asusia hesabu ya kura

Wawakilishi wa mgombe urais katika Uchaguzi wa Afghanistan Abdullah Abdullah wamesusia shughuli ya ukaguzi wa kura

 

11 years ago

GPL

WANANCHI AFGHANISTAN WAPIGA KURA KUMCHAGUA RAIS WAO

Mwananchi wa Afghanistan akipiga kura ya kumchagua rais mpya wa nchi hiyo. Rais Hamid Karzai akipiga kura yake mjini Kabul. Mpiga kura…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani