Kura kuhesabiwa upya leo nchini Malawiu
Nchini Malawi kura za uchaguzi mkuu zinatarajwa kuhesabiwa upya hii leo katika maeneo ambapo kura zinazidi waliosajiliwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Afghanistan:Kura kuhesabiwa upya
11 years ago
Habarileo27 May
Kura kuhesabiwa upya Malawi
VUTA nikuvute ya Uchaguzi Mkuu nchini Malawi, inaendelea, ambapo sasa kura zitahesabiwa upya katika maeneo kadhaa, ambako imedhihirika idadi ya wapiga kura, haiwiani na idadi ya waliojiandikisha. Aidha, baadhi ya wanasiasa na wanasheria, wamepeleka malalamiko yao mahakamani, hivyo kuzidi kuchelewesha matokeo ya uchaguzi huo.
11 years ago
BBCSwahili21 May
Kura zinaendelea kuhesabiwa Malawi
10 years ago
BBCSwahili22 Jul
Kura zaanza kuhesabiwa Burundi
10 years ago
BBCSwahili21 Dec
Kura zaanza kuhesabiwa Liberia
9 years ago
Habarileo17 Oct
Kura Kahama kuhesabiwa kwa DC
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Underson Msumba amesema atalamizika kuhamishia shughuli za kuhesabu kura za urais, ubunge na udiwani kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kutokana na ofisi yake kuwa jirani na ofisi za vyama mbalimbali vya siasa.
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Wapiga kura kuandikishwa upya
KILIO cha muda mrefu cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutaka Daftari la Kudumu la Wapiga Kura liboreshwe kimepata jibu baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuamua...
11 years ago
Habarileo20 Jun
Vitambulisho vya kura kutolewa upya
VITAMBULISHO vya kupiga kura nchini, vitatolewa upya kwa wananchi wote, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuboresha daftari la kudumu la wapigakura. Mchakato huo wa kutoa vitambulisho upya, utakaotekelezwa Septemba mwaka huu, utagharimu Sh bilioni 293 .
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
CHADEMA yatakiwa kujipanga upya kudhibiti kura
UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga, umeshauri chama hicho kuwa na mikakati na mbinu mpya katika kudhibiti udanganyifu na wizi wa kura unaofanywa na Chama...