Afisa FIFA epelekwa Marekani kushtakiwa
Mtu ambaye ndiye aliyeratibu Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2014 huko nchini Brazil Jose Maria Marin ametolewa kutoka Uswis kwenda nchini Marekani ili akashtakiwe.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Afisa wa FIFA akiri alipokea rushwa
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
FIFA yampiga marufuku afisa kwa miaka 7
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
FIFA yampiga marufuku miaka 10 afisa wa Nepal
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Washukiwa wa FIFA watakiwa Marekani
10 years ago
BBCSwahili30 May
FIFA:Blatter ailaumu UEFA na Marekani
5 years ago
BBCSwahili30 May
Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani
9 years ago
StarTV31 Dec
  Televisheni ya Marekani yaandaa Mdahalo kwa wagombea Urais Fifa
Katika kuhakikisha Soka linampata rais bora wa Shirikisho la soka duniani FIFA,Televisheni moja ya Marekani imeandaa mdahalo utakaowashirikisha wagombea wote watano wa nafasi ya Urais.
Wagombea walioalikwa ni pamoja na Prince Ali Bin al-Hussein, Sheikh Salman bin Ebrahim al-Khalifa, Tokyo Sexwale, Gianni Infantino na Jerome Champagne kati yao mmoja ndiye atakayekuwa raisi wa FIFA katika uchaguzi utakaopigwa February 26 mjini Zurich Uswis.
Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Televisheni hiyo...
10 years ago
Mwananchi04 Dec
Kaseja ‘kushtakiwa’
9 years ago
Mwananchi29 Aug
Lowassa kushtakiwa