Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFRICAN REGGAE AMBASSODOR JHIKOMAN KUTINGISHA JUKWAA TUBINGEN,UJERUMANI

Mwanamuziki maarufu wa reggae barani Afrika Jhiko Manyika aka Jhikoman kutoka Bagamoyo,Tanzania,anatarajiwa kupanda jukwaani katika maonyesho makubwa ya kimataifa ya 5th.International African festival Tubingen 2014,nchi ujerumani. Mwanamuziki huyo nguli wa reggae amepewa nafasi ya pekee ya kutumbuiza mara mbili kwa siku tofauti katika viwanja vya onyesho hilo Festplatz,Europa str. mjini Tubinge kusini mwa ujerumani, ambako maonyesho yatafunguliwa 17.julai 2014 hadi 20.Julai 2014,maonyesho ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MFALME WA REGGAE JHIKOMAN ADATISHA KATIKA INTERNATIONAL AFRICAN FESTIVAL TUBINGEN,UJERUMANI

Tubingen,Ujerumani, Mwanamuziki maarufu wa reggae barani Afrika Jhiko Manyika aka Jhikoma kutoka Bagamoyo,Tanzania,alifanikiwa kuwadatisha akili washabiki wa muziki nchini ujerumani siku ya alhamisi 17 julai 2014 katika maonyesho makubwa ya kimataifa 5th International African festival Tubingen 2014,yanayofanyika katika viwanja vya Festplatz,mjini Tubingen,Ujerumani. 
Mwanamuziki huyo nguli wa reggae amepewa heshima zote za kimataifa kwa uwakilishaji wake kama balozi wa reggae wa Afrika.ratiba...

 

11 years ago

Michuzi

Mfalme wa reggae Ras Jhikoman kutoka Bagamoyo,Tanzania atua mjini Tubingen,Ujerumani

 Mwanamuziki nyota wa reggae barani Afrika Jhiko Manyika aka Jhikoman kutoka Bagamoyo,Tanzania amewasili mjini Tubingen,Ujerumani kwa ajili ya kushiriki katika maonyesho makubwa ya 5th International African Festival Tübingen 2014, yatakayoanza 17 julai 2014 mpaka 20 Julai 2014 katika viwanja ya Festplatz, mjini Tübingen. Watayarishaji wa maonyesho hayo Afrikaktiv.org wamemtaja mwanamuziki Jhikoman kuwa ni nyota inayong'aa kutoka Afrika na wamemwalika kwa ajii ya kuja kuzidisha mwangaza...

 

10 years ago

Vijimambo

JHIKOMAN & AFRIKABISA BAND KUTINGISHA JIJI LA DAR SIKU 12.12.2014

Mfalme wa mziki wa Reggae barani Afrika Jhikoman mwenye makao yake mijini Bagamoyo,aiongoza bendi yake Afrikabisa katika shamra shamra za shereheza kuadhimisha siku ya uhuru wa Tanganyika.Onyesho hilo linawashirikishawasanii wengi litafanyika.
Mahali; Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni,mkabala na chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Barabara ya Samora, mtaa wa Shaabani Robert kati ya Jiji la Dar-Es-Salaam.
www.jhikoman.com

 

10 years ago

Michuzi

JHIKOMAN & AFRIKABISA BAND KUTINGISHA JIJI LA DAR DSEMBA 12, 2014

 Mfalme wa mziki wa Reggae barani Afrika Jhikoman mwenye makao yake mijini Bagamoyo,aiongoza bendi yake Afrikabisa katika shamra shamra za sherehe za kuadhimisha siku ya uhuru wa Tanganyika. Onyesho hilo linawashirikisha wasanii wengi.Mahali; Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni,mkabala na chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Barabara ya Samora, mtaa wa Shaabani Robert kati ya Jiji la Dar-Es-Salaam.www.jhikoman.com  Sehemu ya ukumbi wa  Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni,mkabala na chuo cha...

 

10 years ago

TheCitizen

Jhikoman the tireless reggae disciple

There are times when people get into what is becoming a common debate regarding reggae music.

 

11 years ago

Michuzi

Bendi za Tanzania zimeanza kutingisha msimu wa Joto Ujerumani

Muziki wa dansi wa Tanzania umezidi kufungua ukurusa mpya katka tufe la dunia, baada ya wasanii na wanamuziki wa Tanzania kutumbuiza katika onyesho la TFF Rudolstadt 2014,yaliofanyika kuanzia tarehe 3 adi 6 Julai 2014 mjini Rudolstadt,Ujerumani,ambako vikundi mbali mbali vya sanaa na bendi za muziki kutoka Tanzania zilishiriki,zikiwemo bendi ya Black Warriors ikiwashirikisha jukwaani na wakongwe wa muziki akina Mafumu Bilal,Hassan Bichuka,Cosmas Chidumule na wengine,pia Mchiriku...

 

11 years ago

Michuzi

FFU wa Ngoma Africa Band wawatia wazimu washabiki Tubingen,Ujerumani

Tubingen,Ujerumani,Ilikuwa usiku  jumamosi  19.Julai 2014 bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni " imefanikiwa tena kuwatia wazimu malefu ya washabiki katika maonyesho makubwa ya International African Festival 2014 mjini Tubingen,Ujerumani. 
Bendi hiyo iliyobatizwa majina mengi ya utani na washabiki wake  imejikuta inaongeza idadi ya maelfu ya washabiki katika maonyesho yake.
Katika hali isiyo ya kawaida usiku wa jumamosi 19 Julai 2014 Ngoma Africa...

 

11 years ago

Michuzi

Jhikoman katika tizi la Uzee mwisho Chalinze ndani ya Ujerumani

 Mwanamuziki maaruffu wa Reggae barani Afrika Jhikoman ambaye anatarajia kupanda jukwaani wiki hii katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen,2014,Germany. mwanamuziki (pichani) akiwa katika mazoezi ya viungo maarufu kama 'Uzee mwisho Chalinze' ndani ya Ujerumani. kwa wale wanataka kumpa Hi! +49(0)15211229655 Kilomita 10 kila asubuhi si mchezo

 

10 years ago

Vijimambo

Ngoma Africa Band To Rock 6th International African Festival Tubingen, Germany 2015

The popular Ngoma Africa band will be among many acts expected to thrill fans at the 5th International African Festival in Tübingen, Germany. The extravanganza will take place from July 23-26,2015

Ngoma Africa, based in Germany, founded 1993 by bandleader Ebrahim Makunja also known as Kamanda Ras Makunja, is home to a number of talented musicians, including soloist Christian Bakotessa aka Chris-B.

Others are Jo Souza, Matondo Benda, Aj Nbongo, Sarah Simbosh, Jessicha Ouyah, Groly Mundeke,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani