JHIKOMAN & AFRIKABISA BAND KUTINGISHA JIJI LA DAR DSEMBA 12, 2014
Mfalme wa mziki wa Reggae barani Afrika Jhikoman mwenye makao yake mijini Bagamoyo,aiongoza bendi yake Afrikabisa katika shamra shamra za sherehe za kuadhimisha siku ya uhuru wa Tanganyika. Onyesho hilo linawashirikisha wasanii wengi.Mahali; Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni,mkabala na chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Barabara ya Samora, mtaa wa Shaabani Robert kati ya Jiji la Dar-Es-Salaam.www.jhikoman.com Sehemu ya ukumbi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni,mkabala na chuo cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboJHIKOMAN & AFRIKABISA BAND KUTINGISHA JIJI LA DAR SIKU 12.12.2014
Mahali; Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni,mkabala na chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Barabara ya Samora, mtaa wa Shaabani Robert kati ya Jiji la Dar-Es-Salaam.
www.jhikoman.com
11 years ago
MichuziJhikoMan & Afrikabisa Band - Europe Tour 2014
11 years ago
Michuzi01 May
JHIKOMAN & AFRIKABISA BAND LIVE ON SAUTI ZA BUSARA 2014
11 years ago
MichuziMwanamuziki Jhikoman & Afrikabisa band kuanza Europe Tour mwezi huu
11 years ago
MichuziAFRICAN REGGAE AMBASSODOR JHIKOMAN KUTINGISHA JUKWAA TUBINGEN,UJERUMANI
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Skylight Band na Bodaboda Band ya Kidumu yatikisa jiji la Dar Escape One
Skylight Band wakikamua jukwaani..Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba na Sam Mapenzi kwenye show maalum ya uzinduzi wa Video yao mpya ya “Kariakoo” uliosoindikizwa na Bodaboda Band ya msanii Kidumu kutoka jijini Nairobi uliofanyika kwenye kiota cha Escape One.
Mrembo Neema Mbuya alikuwepo kuwahudumia wageni 100 wa kwanza na Tequila shots.
wageni wakihudumiwa Tequila shots!
Divas wa Skylight Band wakiongozwa na Aneth Kushaba AK47 kutoa burudani kwa...
10 years ago
VijimamboNGOMA AFRICA BAND KUTINGISHA MAMLING FESTIVAL- AUSTRIA
10 years ago
GPLINAFRIKA BAND KUTOKA DAR WATINGISHA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Skylight Band yatikisa jiji la Dar Nyama Choma Festival
Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Mashabiki wakiwa wameshona kwenye viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Nyama Choma Festival huku Skylight Band wakitoa burudani ya aina yake.
Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani sambamba na Digna Mbepera kwa mashabiki wa muziki wa Live Band kwenye tamasha la Nyama...