Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jhikoman the tireless reggae disciple

There are times when people get into what is becoming a common debate regarding reggae music.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

AFRICAN REGGAE AMBASSODOR JHIKOMAN KUTINGISHA JUKWAA TUBINGEN,UJERUMANI

Mwanamuziki maarufu wa reggae barani Afrika Jhiko Manyika aka Jhikoman kutoka Bagamoyo,Tanzania,anatarajiwa kupanda jukwaani katika maonyesho makubwa ya kimataifa ya 5th.International African festival Tubingen 2014,nchi ujerumani. Mwanamuziki huyo nguli wa reggae amepewa nafasi ya pekee ya kutumbuiza mara mbili kwa siku tofauti katika viwanja vya onyesho hilo Festplatz,Europa str. mjini Tubinge kusini mwa ujerumani, ambako maonyesho yatafunguliwa 17.julai 2014 hadi 20.Julai 2014,maonyesho ya...

 

11 years ago

Michuzi

MFALME WA REGGAE JHIKOMAN ADATISHA KATIKA INTERNATIONAL AFRICAN FESTIVAL TUBINGEN,UJERUMANI

Tubingen,Ujerumani, Mwanamuziki maarufu wa reggae barani Afrika Jhiko Manyika aka Jhikoma kutoka Bagamoyo,Tanzania,alifanikiwa kuwadatisha akili washabiki wa muziki nchini ujerumani siku ya alhamisi 17 julai 2014 katika maonyesho makubwa ya kimataifa 5th International African festival Tubingen 2014,yanayofanyika katika viwanja vya Festplatz,mjini Tubingen,Ujerumani. 
Mwanamuziki huyo nguli wa reggae amepewa heshima zote za kimataifa kwa uwakilishaji wake kama balozi wa reggae wa Afrika.ratiba...

 

11 years ago

Michuzi

Mfalme wa reggae Ras Jhikoman kutoka Bagamoyo,Tanzania atua mjini Tubingen,Ujerumani

 Mwanamuziki nyota wa reggae barani Afrika Jhiko Manyika aka Jhikoman kutoka Bagamoyo,Tanzania amewasili mjini Tubingen,Ujerumani kwa ajili ya kushiriki katika maonyesho makubwa ya 5th International African Festival Tübingen 2014, yatakayoanza 17 julai 2014 mpaka 20 Julai 2014 katika viwanja ya Festplatz, mjini Tübingen. Watayarishaji wa maonyesho hayo Afrikaktiv.org wamemtaja mwanamuziki Jhikoman kuwa ni nyota inayong'aa kutoka Afrika na wamemwalika kwa ajii ya kuja kuzidisha mwangaza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jhikoman, TaSUBa wapamba Siku ya Msanii

Jhikoman

Jhikoman akitoa burudani.

Na Andrew Chale, Bagamoyo

MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya Afro reggae, Jhikolabwino Manyika maarufu Jhikoman pamoja na wasanii mbalimbali waliungana na wenzao kote duniani kuazimisha siku ya msanii Afrika, kwenye viunga vya chuo cha sanaa Bagamoyo.

Shoo hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki, Oktoba 25 kwenye viunga vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) maarufu chuo cha sanaa Bagamoyo, wasanii wa sanaa tofauti walipata kuonyesha kazi zao ikiwemo...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

JHIKOMAN NAYE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Mwanamuziki wa Raggae, Jhikoman akicharaza gitaa lake ndani ya studio za Global TV Online. Jhikoman akiwa katika pozi na gitaa lake.…

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan

JhikoMan akitumbuiza kwenye Tamasha la Majahazi 2013Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan aliyejiunga nasi moja kwa moja kutoka Helsinki Finland mwishoni mwa mwezi Julai.
Amezungumza mengi kuhusu ziara yake ya Ulaya iliyoanza mwezi wa nne, maonyesho aliyofanya, kazi alizorekodi na pia watu aliowashirikisha kwenye albamu yake mpya ijayo.
Amezungumzia IMANI ya RASTA na pia MUZIKI WA TANZANIA kwa ujumlaAmeongea mengi memaKARIBU UJIUNGE NASI

 

10 years ago

Dewji Blog

Jhikoman, Zawose, Maembe kupamba ‘Karibu Festival’

Px 1

Msemaji  wa  tamasha la Karibu Music Festival, Muslim Nassor  ‘Jazzphaa’ (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho huo.

..Wapo pia Prof. Jay, Barnaba, Shilole

Na Andrew Chale

WASANII kutoka ndani na nje wanatarajiwa kupamba tamasha la Muziki la Kimataifa la ‘Karibu  Music Festival’ litakalofanyika kwa siku tatu kwenye mji wa Kihistoria wa Bagamoyo, Novemba 7 hadi 9 mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika ukumbi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani