Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bendi za Tanzania zimeanza kutingisha msimu wa Joto Ujerumani

Muziki wa dansi wa Tanzania umezidi kufungua ukurusa mpya katka tufe la dunia, baada ya wasanii na wanamuziki wa Tanzania kutumbuiza katika onyesho la TFF Rudolstadt 2014,yaliofanyika kuanzia tarehe 3 adi 6 Julai 2014 mjini Rudolstadt,Ujerumani,ambako vikundi mbali mbali vya sanaa na bendi za muziki kutoka Tanzania zilishiriki,zikiwemo bendi ya Black Warriors ikiwashirikisha jukwaani na wakongwe wa muziki akina Mafumu Bilal,Hassan Bichuka,Cosmas Chidumule na wengine,pia Mchiriku...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

AFRICAN REGGAE AMBASSODOR JHIKOMAN KUTINGISHA JUKWAA TUBINGEN,UJERUMANI

Mwanamuziki maarufu wa reggae barani Afrika Jhiko Manyika aka Jhikoman kutoka Bagamoyo,Tanzania,anatarajiwa kupanda jukwaani katika maonyesho makubwa ya kimataifa ya 5th.International African festival Tubingen 2014,nchi ujerumani. Mwanamuziki huyo nguli wa reggae amepewa nafasi ya pekee ya kutumbuiza mara mbili kwa siku tofauti katika viwanja vya onyesho hilo Festplatz,Europa str. mjini Tubinge kusini mwa ujerumani, ambako maonyesho yatafunguliwa 17.julai 2014 hadi 20.Julai 2014,maonyesho ya...

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI WA BENDI YA THE NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI AKUTANA NA ANKAL, JIJINI DAR


Ankal akimkabidhi zawadi ya Krismasi  na kadi Kamanda wa FFU Ughaibuni The Ngoma Africa Band ya Ujeruman, Ras Ephraim Makunja, a.k.a Field Marshal wa jamii ya Annunaki walipokutana leo katikati ya jiji la Dar es salaam na kufanya mazungumzo ya faragha ya saa moja katika kiota cha Break Point cha mjini.…

 

10 years ago

GPL

BENDI MPYA YA VIJANA WANNE, RUBY BENDI WATINGA GLOBAL TV ONLINE

Waimbaji wa Ruby Bendi wakiwa katika pozi baada ya kufanya mahojiano na Global TV Online kutoka kushoto ni Suma Luvi, Smaina, Kwea Pia na Maya. (PICHA: GLOBAL TV ONLINE)

 

11 years ago

BBCSwahili

Sherehe za Ufunguzi zimeanza

Sherehe za Ufunguzi zimeanza Sao Paolo kisha baadaye itakuwa mechi ya ufunguzi kati ya Brazil na Croatia.

 

10 years ago

Vijimambo

Shughuli ya uokoaji zimeanza tena Ufaransa

Ndege za uokoaji zimerejelea shughuliHali ya anga imeathiri uokoajiHali ya hewa katika Milima ya Alps nchini UfaransaJamaa na marafiki ya walioathirika wakitoa rambirambi zaoNdege za uokoajiUtafutaji miili ukiendelea
Polisi nchini Ufaransa wameeleza kuwa hali mbaya ya hewa itakwamisha zoezi la utafutaji miili ya watu wapatao mia moja na hamsini katika eneo la ajali ya ndege na hivyo kuchukuwa siku kadhaa.
Siku ya jana ndege ya Ujerumani ilianguka katika eneo la milima ya Alps huko Ufaransa na...

 

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA TUMBAKU MOROGORO CHAFANYA SHERERE KUFUNGA MSIMU NA KUFUNGUA MSIMU MPYA

Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited (TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC) David Crowhorst Akitoa hotuba yake wakati wa sherehe za kumaliza msimu uliopita na kukaribisha msimu mwingine pamoja na kutoa zawadi kwa wafanyakazi waliotumikia kampuni hizo kwa muda mrefu pamoja na wafanyakazi bora zilizofanyika Kiwandani hapo.Katika Hotuba yake Mkurugenzi Huyo alisema Makampuni hayoyamesaidia Mkoa wa Morogoro kuanza kuinuka kiuchumi kutokana na...

 

10 years ago

Mwananchi

Walipachika mabao msimu uliopita, msimu huu chali

Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa muda wa mwezi mmoja huku timu zote zikiwa zimeshacheza michezo saba na Mtibwa Sugar ndiyo inaongoza msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 15.

 

9 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Kampeni zimeanza, Watanzania tuwe makini

Ni dhahiri kuwa shughuli imeanza rasmi. Sasa ni wakati mwafaka wa kuona na kusikia ahadi lukuki za wagombea baada ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi ambao umebakiza siku 61 kufanyika kote nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Usher na Kanye West kutingisha BET Awards 2015

Leo ni siku ambayo litarekodiwa tukio la nane la kihistoria la kutunza wanamuziki ambao mchango wao ni mkubwa katika medani ya muziki wa kizazi kipya duniani, maarufu kwa jina la BET Music Awards.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani