Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFRIKA ISINYANYAPALIWE KWA SABABU YA EBOLA- JK



Na Mwandishi Maalum, New YorkRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ameungana na viongozi wengine duniani katika kuichagiza Jumuiya ya Kimataifa kuzisaidia Liberia, Siera Leone na Guinea mataifa ambayo yameathirika vibaya na mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola.
Amesema misaada inayopelewa na itakayopelewa katika nchi hizo inatakiwa kuwa endelevu na ya uhakika hadi pale ugonjwa huo utakapodhibitiwa,Rais Kikwete ametoa wito huo siku ya alhamisi wakati...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Afrika Isinyanyapaliwe kwa sababu ya Ebola - JK

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa siku  ya Alhamisi ambapo pamoja na  masuala mengine alitoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa wa    kutoinyanyapa Afrika    kwa sababu ya Ebola na kusisitiza kuwa Afrika ni  Bara la lenye nchi 53 na  kwamba si   nchi zote zenye Ebola kauli iliyopigiwa makofi na wajumbe wa Baraza Kuu la 69 waliokuwa wakimsikiliza ikiwa ni  ishara ya kuunga mkono kauli yake.
Na Mwandishi Maalum, 
New ...

 

10 years ago

Michuzi

Afrika ni salama pamoja na kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola — Rais Kikwete

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaoziwakilkisha nchi zao nchini China wakati alipokutana nao jijini Beijing China leo asubuhi.Raius Kikwete yupo nchini China kwa ziara ya kiserikali.(picha na Freddy Maro)

 

9 years ago

Mwananchi

WB yataja sababu za umaskini Afrika

Sera mbovu, rushwa, migogoro, kukosekana kwa uwazi ni miongoni mwa vyanzo vya umaskini katika nchi za Afrika, imeelezwa.

 

9 years ago

Bongo5

Ifahamu sababu ya Facebook kufungua ofisi zake Afrika

Facebook kwa mara ya kwanza barani Afrika wamefungua ofisi ili kuweza kuongeza ufanisi kibiashara na kwa wateja wao barani Afrika ukianzia nchini Afrika ya Kusini. Facebook ikiwa imemteua msimamizi wa bara la Afrika, Nunu Ntshingila, ofisi hiyo ikiwa Melrose Arch, Johannesburg. Watu karibu ya milioni 7.1 wanatumia mtandao wa Facebook nchini Nigeria zaidi ya Afrika […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yatishia W. Afrika

Mawaziri wa afya 11 kutoka nchi za Afrika magharibi wanakutana Ghana,kutafuta mkakati wa kudhibiti kuenea kwa Ebola

 

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI ATAJA SABABU ZA TANZANIA KUTOSHIRIKI MKUTANO WA NCHI NNE NA ULE ULIOTISHWA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi amefafanua kwa kina sababu za Tanzania kutoshiriki kwenye mikutano ya kikanda ukiwemo mkutano wa Korido ya Kaskazini unaohusisha nchi nne pamoja na mkutano wa SACU uliotishwa na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa.
Ufafanuzi wa Profesa Kabudi ambao ameutoa leo Mei 13,2020 Bungeni Mjini Dodoma unatokana na kuwepo kwa madai ya baadhi ya watu wasioitakia mema Jumuiya Afrika...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yatikisa Afrika Magharibi

Homa ya Ebola wakati huu inasemekana kuwa kali zaidi kuliko wakati mwingine wowote

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola kutokomezwa Afrika magharibi

Nchi za Afrika magharibi zimekubaliana kuweka mikakati ya pamoja kupambana na ugonjwa wa Ebola

 

10 years ago

BBCSwahili

Mfuko wa Ebola waahidiwa Afrika

Makampuni na wafanyabiashara waahidi kusaidia nchi zilizoathirika na Ebola

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani