Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afrika Kusini yaonywa na Marekani kuhusu mpango wa kuchukua ardhi za wazungu bila fidia

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo ameonya mipango ya serikali ya Afrika Kusini kunyakua ardhi pasipo fidia kuwa ''utaleta madhara mabaya sana'' kwa uchumi na taifa kwa ujumla.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: HAIRUHUSIWI SERIKALI YA MTAA KUGEUZA ARDHI YA MTU NJIA BILA KUMLIPA FIDIA

Na  Bashir  Yakub.
Kuna malalamiko  katika  baadhi  ya  maeneo   na  zaidi  malalamiko  haya   yamekuwa  yakielekezwa  kwa   mamlaka  za  serikali  za  mitaa. Nimewahi  kuandika  kuhusu   ukiukaji  wa  taratibu  mbalimbali   ambao  hufanywa   na  serikali  za  mitaa  katika  maeneo  au  ardhi  za  watu.  Pia  niliandika  kuhusu  upotoshi  wa  mamlaka  za  serikali  za  mitaa  katika  kuwaandalia  watu  mikataba  ya  mauzo  ya  ardhi  wakati  wakijua  kuwa  hawaruhusiwi  kufanya  hivyo  jambo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Marikana:Afrika kusini kulipa fidia

Serikali ya Afrika Kusini imesema italipa fidia kwa familia za wafanyakazi wa mgodini waliouawa

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO WIKI YA MAJI , MPIJI MAGOHE WATOA ARDHI BILA FIDIA KUPATA UMEME WA UHAKIKIA KWENYE CHANZO CHA MAJI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika wakifungua maji ya bomba kwenye Zahanati ya Kijiji cha Mpiji Magohe mara baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji hicho manispaa ya Kinondani jijini Dar es salaam.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akizindua Tenki la kuhifadhia maji katika kijiji cha Mpiji Magohe, manispaa ya Kinondani jijini Dar es salaam leo wakati wa mwendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Maji yanayoendelea mkoani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho wiki ya maji, Mpiji Magohe watoa ardhi bila fidia kupata umeme wa uhakikia kwenye chanzo cha maji

Picha na 4

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki  na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika wakifungua maji ya bomba kwenye Zahanati ya Kijiji cha Mpiji Magohe mara baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji hicho manispaa ya Kinondani jijini Dar es salaam.

Picha na 5

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akizindua Tenki la kuhifadhia maji katika kijiji cha Mpiji Magohe, manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo wakati wa mwendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Maji yanayoendelea...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tetemeko la ardhi latikisa Afrika Kusini

Tetetemeko la ardhi limetikisa Afrika Kusini, na kumuua mtu mmoja pamoja na kusababisha wachimba migodi kukwama katika machimbo

 

10 years ago

Mwananchi

Kizungumkuti cha tatizo la ardhi Afrika ya Kusini

Licha ya hayo, serikali yake ya Chama cha African National Congress (ANC), inabidi sasa ilipatie ufumbuzi suala gumu la umilikaji ardhi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, NHC mafunzoni Afrika Kusini

Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kuambatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Tumaini Thika jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.

Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MARK MUGA: Msanii aliyeishi Afrika Kusini miaka 15 bila mafanikio

WIMBO ulioimbwa na mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, unaojulikana kwa jina la ‘Mark Muga’ ni maisha ya kweli ya mhusika aliyeimbwa. Hata hivyo Mark Muga mwenyewe...

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa Vodacom kutatua tatizo la Mawasiliano chini ya ardhi Afrika ya Kusini

Tatizo la kupata mawasiliano ya simu kwenye vituo vya usafiri vilivyojengwa chini ya ardhi nchini Afrika Kusini limekuwa ni tatizo sugu kwa muda mrefu.
Kituo maarufu cha Gautrain ambacho kimekuwa kikitumiwa na wasafiri wengi wakiwemo wanafunzi,wafanyakazi na watalii kwa muda mrefu tangia kifunguliwe mwaka 2010 kimekuwa kikikabiliwa na tatizo la mtandao ambao ulisababisha wasafiri wanaokitumia kituo hicho kushindwa kuwasiliana kwa njia ya simu na barua pepe. 
Kampuni ya Vodacom imejitosa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani