Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFRIKA KUSINI YAWASILI KUIVAA SERENGETI BOYS

 Afrika Kusini (Amajimbos) imewasili nchini kuikabili Tanzania (Serengeti Boys) katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 itakayochezwa keshokutwa (Julai 18 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.
Timu hiyo yenye msafara wa watu 37 ilitua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana usiku (Julai 15 mwaka huu) na imefikia hoteli ya Sapphire. Amajimbos itafanya mazoezi leo saa 10 jioni kwenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SERENGETI BOYS KUPAMBANA NA AFRIKA KUSINI

Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza Wambura. Afisa Habari wa TFF Boniface Wambura akizungumza na wanahabari. TIMU ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys inatarajiwa kushuka dimbani kupambana na Afrika Kusini katika mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu kwa Fainali za Kombe la Mataifa Afrika kwa vijana chini ya umri huo. Hayo yalisemwa na Afisa Habari wa… ...

 

11 years ago

Michuzi

SERENGETI BOYS KUELEKEA AFRIKA KUSINI KESHO

Msafara wa watu 25 wa kikosi cha timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) unaondoka kesho (Julai 28 mwaka huu) kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mechi dhidi ya Afrika Kusini (Amajimbos).
Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya pili itachezwa Jumamosi, Agosti 2 mwaka huu kwenye Uwanja wa Dobsonville uliopo Soweto, Johannesburg kuanzia saa 9 kamili mchana kwa saa za Afrika Kusini.
Timu hizo zilitoka suluhu katika mechi ya kwanza iliyofanyika Julai 18 mwaka huu kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yapata pigo Afrika Kusini kabla ya kuivaa Yanga

Klabu ya Simba imepata pigo jingine kabla ya kukutana na wapinzani wao wa jadi Yanga baada ya kipa wao Hussein Sharrif ‘Casillas’ kuumia ugoko katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Orlando Pirates nchini Afrika Kusini walipoweka kambi.

 

11 years ago

Mwananchi

Serengeti Boys yapania

Kocha wa timu ya taifa ya vijana walio na chini ya miaka 17, Serengeti Boys, Hababuu Ali Omari amesema wachezaji wake wako tayari kwa ajili ya mchezo wa Ijumaa dhidi ya Afrika Kusini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Boys yapigwa tafu

KAMPUNI ya Airtel Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika kuendeleza michezo nchini ili kuleta ufanisi katika sekta hiyo. Akizungumza kabla ya kukabidhi mipira 100 kwa timu ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Boys, Amajimbos sare 

TIMU ya taifa ya Tanzania kwa vijana wa chini ya miaka 17, Serengeti Boys, jana ilitoka sare ya bila kufungana na wenzao wa Afrika Kusini katika mechi ya kimataifa iliyochezwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Boys vs ‘Amajimbos’ buku 2

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) imetangaza viingilio vya mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wa chini ya miaka 17 kati ya Tanzania ‘Serengeti...

 

11 years ago

Mwananchi

Serengeti Boys yashikwa nyumbani

Timu ya taifa ya soka ya vijana chini ya miaka 17, Ngorongoro Heroes imeshindwa kutamba mbele ya wenzao wa Afrika Kusini, baada ya kulazimishwa suluhu nyumbani.

 

11 years ago

TheCitizen

Serengeti Boys should make Tanzanians happy

Even as we still strive to come to terms with our athletes’ poor performance at the 2014 Commonwealth Games, local sports enthusiasts will be excited to note that our national Under-17 soccer team, Serengeti Boys, has realistic chances of making it to the final qualifying round of the 2015 Africa Youth Championship.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani