SERENGETI BOYS KUELEKEA AFRIKA KUSINI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-tbAOa0Cg3M4/U9TDAhXUqTI/AAAAAAAF6_Y/cLSMjXL-Uio/s72-c/serengeti+boys.jpg)
Msafara wa watu 25 wa kikosi cha timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) unaondoka kesho (Julai 28 mwaka huu) kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mechi dhidi ya Afrika Kusini (Amajimbos).
Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya pili itachezwa Jumamosi, Agosti 2 mwaka huu kwenye Uwanja wa Dobsonville uliopo Soweto, Johannesburg kuanzia saa 9 kamili mchana kwa saa za Afrika Kusini.
Timu hizo zilitoka suluhu katika mechi ya kwanza iliyofanyika Julai 18 mwaka huu kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSERENGETI BOYS KUPAMBANA NA AFRIKA KUSINI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--9_N-qr_BO8/U8ZC0kIEMzI/AAAAAAAF2ps/RuGHBmslkg4/s72-c/serengeti.jpg)
AFRIKA KUSINI YAWASILI KUIVAA SERENGETI BOYS
![](http://3.bp.blogspot.com/--9_N-qr_BO8/U8ZC0kIEMzI/AAAAAAAF2ps/RuGHBmslkg4/s1600/serengeti.jpg)
Timu hiyo yenye msafara wa watu 37 ilitua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana usiku (Julai 15 mwaka huu) na imefikia hoteli ya Sapphire. Amajimbos itafanya mazoezi leo saa 10 jioni kwenye...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bQw76IDvqZI/U9gEHMRynuI/AAAAAAAF7u0/EvD1Se2ih54/s72-c/Taifa-stars.jpg)
KIKOSI CHA TAIFA STARS KUELEKEA NCHINI AFRIKA KUSINI KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-bQw76IDvqZI/U9gEHMRynuI/AAAAAAAF7u0/EvD1Se2ih54/s1600/Taifa-stars.jpg)
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itawasili saa 9 asubuhi kesho (Julai 30 mwaka huu) kwa ndege ya Fastjet kutoka Tukuyu mkoani Mbeya, na baadaye jioni kuunganisha safari ya Afrika Kusini.
Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya...
9 years ago
Bongo510 Oct
Ben Pol kuelekea Afrika Kusini kufanya video ya ‘Ningefanyaje’ na Justin Campos
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IlPpOZe_HoA/VVHrWOKAmuI/AAAAAAAHW1Q/JcMdGnzMqvM/s72-c/tff_LOGO1.jpg)
TAIFA STARS KWENDA AFRIKA KUSINI KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-IlPpOZe_HoA/VVHrWOKAmuI/AAAAAAAHW1Q/JcMdGnzMqvM/s400/tff_LOGO1.jpg)
Michuano ya COSAFA inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 17 mpaka Mei 30, 2015 katika viwanja vya Olympia Park na Moruleng jimbo la North West Province nchini Afrika Kusini ikishirikisha nchi za Kusini mwa Afrika huku Tanzania na Ghana zikiwa ni nchi waalikwa.
Taifa Stars itaondoka jijini Dar es salaam kesho majira ya saa 1 jioni, kwa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Q033vaPfAds/VhxNRsIJvDI/AAAAAAAH_mY/GDBYwFXgMr4/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Timu ya Taifa ya wanawake ya Mchezo wa Mpira wa Magongo yakabidhiwa bendera kabla ya kuelekea Afrika ya kusini baada ya
![](http://2.bp.blogspot.com/-Q033vaPfAds/VhxNRsIJvDI/AAAAAAAH_mY/GDBYwFXgMr4/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2dTTJKrNGn8/VhxNRja4vrI/AAAAAAAH_mg/YG0zMhPPt3s/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Serengeti Boys yapania
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Serengeti Boys yashikwa nyumbani