AGGREY :MSUVA AENDE ULAYA TU
![](http://2.bp.blogspot.com/-W1rvYm0OiU8/VKQil3yr0zI/AAAAAAADTdg/gQKx2HXMJ1I/s72-c/IMG_9798_2.jpg)
Msuva ni mcheza muhimu sana kwenye timu ya Yanga lakini kutokana na viongozi wa timu kuwa wachoyo wa maendeleo ya wachezaji hata siku moja wachezaji awawezi kupata mafanikio ya kuuzwa na kucheza anga za kimataifa. Ngassa yupo wapi? alicheza mpira wa kiwango kikubwa na ndie alikuwa mchezaji ghali kuuzwa kutoka Yanga hadi Azam sasa mpira umekwisha anaoa tu jumamosi na jumapili anaacha hiyo ndiyo shida ya soka la bongo kuanzia wachezaji hadi viongozi wa timu ni shiiiiiinda.
Na Nassor Gallu wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Waendesha mashitaka:Pistorius aende jela
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Sitta ampa barua Mtikila aende kwa JK
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Mumeo aende masaji wakati ujuzi unao?
SHANGINGI leo niwape hi, nimejisikia kuchanganya na kizungu kidogo kwa sababu mada inahitaji hivyo, si unajua mambo ya masaji hayo ni ya wenzetu, zamani usingesikia bibi kaenda jumba la masaji!
Mada itawafundisha jinsi ya kumlea mume pale anapolalamikia maumivu ya mwili; wanawake tumekuwa na tabia kwamba mumeo akikwambia anajisikia vibaya, unakimbilia kumwambia aende hospitali au unakwenda kumnunulia panadol apunguze maumivu…tunakosea kabisa.
Daktari, nesi au tabibu ni wewe mwenyewe shoga...
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Aggrey & Clifford wins Gidani International account in Tanzania
Director of National Gaming Board Mr. Abbas Tarimba in discussion with Chairman of Gidani International Prof. Bongani Aug Khumalo during Dar es Salaam International Trade fair 2015.The company participated for the first time and made promotion of its activities.
The marketing and advertising agency, Aggrey & Clifford, has won the account for Gidani International, operating as Murhandziwa in Tanzania. This is the first time Gidani International will have a presence in Tanzania and it was...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ep*dLmCPR*y2xsNfskfyotcZxXphxQWyiswvJD7BD9LKFAjLaOeaLo9PCXVCLk4JGCkxAhDHKT7AZzgPSrUVdPIpC3GgU-VT/ImageProxy.mvc.png)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yaDToKVoFb4/VNSrgKe_dgI/AAAAAAAHCMM/v5Cbxu4E5vI/s72-c/MORRIS1.jpg)
KAMATI YA NIDHAMU TFF YAWAADHIBU JUMA NYOSO NA AGGREY MORRIS
![](http://1.bp.blogspot.com/-yaDToKVoFb4/VNSrgKe_dgI/AAAAAAAHCMM/v5Cbxu4E5vI/s1600/MORRIS1.jpg)
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia kati ya mechi tatu na nane wachezaji Juma Nyoso wa Mbeya City na Aggrey Morris wa Azam kutokana na makosa ya kinidhamu waliyoyafanya wakiwa uwanjani.
Nyoso ambaye alilalamikiwa na TFF kwa kumfanyia vitendo vya udhalilishaji mshambuliaji Elias Maguri wa Simba amefungiwa mechi nane za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL). Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia Ibara ya 57 na Ibara ya 11 (f) ya Kanuni za Nidhamu za TFF Toleo la...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LuP5pzFgTW8rsSZJBI2qukZqgJsfL-2WQ2cVUIlkAyoMltuRjyD0-9DT9XtZbMrhRQVuYEfzdt9yq4LlbnT7WY7/Love.jpg?width=650)
2015 NA MPENDE AKUPENDAE, ALIYEKULIZA 2014 AENDE ZAKE!
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--jsWYo8dhtM/VCQnEY7HGaI/AAAAAAAGlv8/KRHkc0I2EJU/s72-c/IMG-20140925-WA008.jpg)
jioni hii katika makutano ya mtaa wa Aggrey na India jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/--jsWYo8dhtM/VCQnEY7HGaI/AAAAAAAGlv8/KRHkc0I2EJU/s1600/IMG-20140925-WA008.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DYrBmGnWLho/VjLtofp8oII/AAAAAAAIDcQ/-pzCMwulDwE/s72-c/download.jpg)
Raila Odinga ampongeza Dkt Magufuli, amshauri Lowassa aende mahakamani kama hajaridhika
![](http://1.bp.blogspot.com/-DYrBmGnWLho/VjLtofp8oII/AAAAAAAIDcQ/-pzCMwulDwE/s640/download.jpg)