Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AGRICS YAKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI NA ALIZETI KWA WAKULIMA MKOANI SHINYANGA NA SIMIYU

 Wakulima wakifurahia mbegu bora za mahindi, alizeti pamoja na mbolea mara baada ya kukabidhiwa na meneja miradi wa kampuni ya Agrics. Wakulima walionufaika na mbegu hizo ni pamoja na Maswa, Meatu na Shinyanga vijijini.Afisa Miradi wa kampuni ya Agrics Ltd, Bwana Semeni Kime (wa pili kulia) akifurahi na wakulima wa kijiji cha Mwakabeya baada ya kuwakabidhi wakulima hao mbegu za mahindi, alizeti pamoja na mbolea kwa ajili ya msimu mpya kilimo.Kampuni ya Agrics imetimiza ahadi ya kuwakabidhi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA ZAIDI YA 12,000 KUNUFAIKA NA MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI MKOANI

Baadhi ya wakuliwa wa mkoani Shinyanga, wakiwa na maofisa wa Agrics wakati wa mafunzo na uingiaji mkataba wa makubaliano yliofanyika Kijiji cha Ishololo, Wilaya ya Shinyanga Vijijini. Warsha hiyo iliongozwa na Lazaro Japhet (aliyesimama wa tatu kushoto mstari wa mbele. Zaidi ya wakulima 12,000 wanataraji kufaidika na mbegu za mahindi na alizeti kutoka Kampuni ya Agrics. Mahindi yaliyooteshwa kisayansi na kampuni ya Agrics kwa lengo la kuthibitisha ubora wa mbegu zinazotolewa kwa wakulima wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima Liwale kunufaika na mbegu za alizeti, ufuta

Chama cha Kuuza na Kununua Mazao cha Umoja, kilichopo wilayani Liwale, Mkoa wa Lindi kimeanza kutekeleza mradi wa kugawa mbegu za alizeti na ufuta kwa wakulima zaidi ya 700 zenye thamani ya Sh6 milioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbegu feki za mahindi zawaliza wakulima Hai

WAKATI msimu wa mwaka huu wa kilimo mkoani Kilimanjaro ukionekana kuwa na neema ya mvua za kutosha, Wilaya ya Hai imekuwa tofauti kutokana na baadhi ya wakulima kuuziwa mbegu feki...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MBEGU ZA MAHINDI KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO LINDI

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi alipokea kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, sehemu ya mbegu za mahindi tani nne zenye thamani ya shilingi milioni 20 zilizotolewa na Benki hiyo kupitia ombi maalum la Mbunge wa Kuteuliwa anayewakilisha mikoa ya Lindi na Pwani na Mwenyekiti wa mfuko Wanawake na Maendeleo Foundation (WAMA), Mama Salma Kikwete kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa mkoa huo ambao mashamba yao yaliathiwa na mafuriko mapema mwaka huu....

 

10 years ago

Habarileo

Mbegu mpya ya mahindi yatambulishwa

WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven WassiraMBEGU mpya ya mahindi, Chapa Tembo 719, yenye uwezo wa kuzalisha gunia 45 za nafaka hiyo, imetambulishwa kwa wakulima wa kongani ya Ihemi ya Ukanda wa Kuendeleza Kilimo Kusini Mwa Tanzania (SAGGOT) kwa ajili ya msimu wa kilimo wa 2015/2016 na kuendelea.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nsimbo yapiga marufuku usambazaji mbegu za mahindi

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Nsimbo, Wilaya ya Mlele, Katavi, limepiga marufuku ugawaji wa mbegu zinazotolewa kwa vocha za ruzuku aina ya PANA 4 M 19 katika halmashauri hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania sasa yagundua mbegu mpya ya mahindi

Wataalamu wa kilimo nchini wamegundua aina tatu mpya za mbegu za mahindi ambazo zina uwezo wa kuvumilia ukame.

 

10 years ago

StarTV

Wakulima Zanzibar furahia kilimo cha Alizeti.

Na Abdalla Pandu, Zanzibar.

 

 

Wakulima visiwani Zanzibar wameonesha furaha yao baada ya kufanikiwa katika kilimo kipya cha Alizeti ambacho kinaaminika kitakuwa mkombozi kwao na Taifa kwa ujumla kutokana na muda mrefu kutegemea zaidi zao la Karafuu na Nazi kama mazao makuu ya biashara.

 

Zao la Alizeti kwa Zanzibar limeonekana likinawiri kwa kiwango kikubwa hatua inayowajengea matumaini ya kuinua kipato cha wakulima hali ambayo itawawezesha kukabiliana na umasikini.

 

Licha ya faraja...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA JAPAN YATOA MSAADA WA SHILINGI MILIONI 165 KWA AJILI YA MASHINE YA KUKAMULIA MAFUTA YA ALIZETI, CHATO MKOANI GEITA

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mbunge wa Chato (katikati) akifurahia jambo wakati akizungumza Balozi wa Japan Masaki Okada (kulia), pamoja na wawakilishi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya sherehe ya utiaji sahihi wa mkataba wa uwekwaji mashine ya kukamualia mafuta ya Alizeti wilayani Chato. Hafla hiyo ya utiaji saini umefanyika leo jijini Dar es Salaam.Balozi wa Japan, Masaki Okada, akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi ambaye ni Mbunge wa jimbo la Chato...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani