Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nsimbo yapiga marufuku usambazaji mbegu za mahindi

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Nsimbo, Wilaya ya Mlele, Katavi, limepiga marufuku ugawaji wa mbegu zinazotolewa kwa vocha za ruzuku aina ya PANA 4 M 19 katika halmashauri hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mbegu mpya ya mahindi yatambulishwa

WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven WassiraMBEGU mpya ya mahindi, Chapa Tembo 719, yenye uwezo wa kuzalisha gunia 45 za nafaka hiyo, imetambulishwa kwa wakulima wa kongani ya Ihemi ya Ukanda wa Kuendeleza Kilimo Kusini Mwa Tanzania (SAGGOT) kwa ajili ya msimu wa kilimo wa 2015/2016 na kuendelea.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbegu feki za mahindi zawaliza wakulima Hai

WAKATI msimu wa mwaka huu wa kilimo mkoani Kilimanjaro ukionekana kuwa na neema ya mvua za kutosha, Wilaya ya Hai imekuwa tofauti kutokana na baadhi ya wakulima kuuziwa mbegu feki...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania sasa yagundua mbegu mpya ya mahindi

Wataalamu wa kilimo nchini wamegundua aina tatu mpya za mbegu za mahindi ambazo zina uwezo wa kuvumilia ukame.

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA ZAIDI YA 12,000 KUNUFAIKA NA MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI MKOANI

Baadhi ya wakuliwa wa mkoani Shinyanga, wakiwa na maofisa wa Agrics wakati wa mafunzo na uingiaji mkataba wa makubaliano yliofanyika Kijiji cha Ishololo, Wilaya ya Shinyanga Vijijini. Warsha hiyo iliongozwa na Lazaro Japhet (aliyesimama wa tatu kushoto mstari wa mbele. Zaidi ya wakulima 12,000 wanataraji kufaidika na mbegu za mahindi na alizeti kutoka Kampuni ya Agrics. Mahindi yaliyooteshwa kisayansi na kampuni ya Agrics kwa lengo la kuthibitisha ubora wa mbegu zinazotolewa kwa wakulima wa...

 

9 years ago

Michuzi

AGRICS YAKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI NA ALIZETI KWA WAKULIMA MKOANI SHINYANGA NA SIMIYU

 Wakulima wakifurahia mbegu bora za mahindi, alizeti pamoja na mbolea mara baada ya kukabidhiwa na meneja miradi wa kampuni ya Agrics. Wakulima walionufaika na mbegu hizo ni pamoja na Maswa, Meatu na Shinyanga vijijini.Afisa Miradi wa kampuni ya Agrics Ltd, Bwana Semeni Kime (wa pili kulia) akifurahi na wakulima wa kijiji cha Mwakabeya baada ya kuwakabidhi wakulima hao mbegu za mahindi, alizeti pamoja na mbolea kwa ajili ya msimu mpya kilimo.Kampuni ya Agrics imetimiza ahadi ya kuwakabidhi...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MBEGU ZA MAHINDI KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO LINDI

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi alipokea kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, sehemu ya mbegu za mahindi tani nne zenye thamani ya shilingi milioni 20 zilizotolewa na Benki hiyo kupitia ombi maalum la Mbunge wa Kuteuliwa anayewakilisha mikoa ya Lindi na Pwani na Mwenyekiti wa mfuko Wanawake na Maendeleo Foundation (WAMA), Mama Salma Kikwete kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa mkoa huo ambao mashamba yao yaliathiwa na mafuriko mapema mwaka huu....

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KILIMO AZINDUA KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAHINDI JIJINI ARUSHA

Kampuni ya mbegu ya Seedco imezindua kiwanda kipya cha kuzalisha mbegu bora za mahindi na nafaka nyingine kitakachowasaidia wakulima kulima kilimo chenye tija na kupata mazao mengi.
Uzinduzi huo uliongozwa na Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula Godifrey Zambi ambaye alifungua rasmi kiwanda hicho ,Amesema kuwa tasnia ya mbegu ni tasnia muhimu katika ukuaji wa sekta ya kilimo hiyo amewataka wazalishaji mbegu kuongeza tija ili kukuza kilimo.
Ameeleza kuwa kampuni hiyo imetimiza matakwa ya serikali...

 

11 years ago

BBCSwahili

S.Leone yapiga marufuku Kandanda

Mechi zote za kandanda nchini Sierra Leone zimepigwa marufuku kuzuia kuenea zaidi kwa Ebola

 

9 years ago

BBCSwahili

Somalia yapiga marufuku Krismasi

Serikali ya Somalia imepiga marufuku sherehe za kuadhimisha sikukuu ya Krismasi katika mji mkuu wa Mogadishu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani