Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aguero afunga mabao matano dakika 20

Sergio Aguero amefunga mabao matano wakati Manchester City ikifufuka kutoka katika vipigo na kuifumua Newcastle 6-1 kwenye Uwanja wa Etihad na kurudi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England (kabla ya mechi ya Manchester United na Arsenal jana).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Messi, Aguero waikamata Ulaya kwa mabao

 Ulikuwa usiku wa kipekee kwa nyota wa Argentina baada ya Lionel Messi na Sergio Aguero walipoitikisa Ulaya kwa mabao yao matatu ‘hat-trick’.

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki video ya dakika 2 za Yaya Toure na Sergio Aguero walivyobadili matokeo ya mechi dhidi ya Watford

January 2 michezo ya Ligi Kuu Uingereza iliendelea ila mchezo kati ya Watford FC dhidi ya Man City ndio ulihitimisha michezo ya Ligi Kuu Uingereza kwa siku ya Jumamosi ya January 2. Man City walikuwa wageni wa Watford katika dimba la Vicarage Road. Mtu wangu wa nguvu Man City walifanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya […]

The post Cheki video ya dakika 2 za Yaya Toure na Sergio Aguero walivyobadili matokeo ya mechi dhidi ya Watford appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Pellegrini: Aguero atarudi kutamba

Meneja wa Manchester City Manuel Pellegrini ameeleza matumaini yake kwamba Sergio Aguero ataanza kufunga tena mabao kwa wingi.

 

11 years ago

Mwananchi

Aguero aizima Manchester Utd

Bao lililofungwa kipindi cha pili na Sergio Aguero jana liliipa Manchester City ushindi wa nne mfululizo wa Ligi Kuu England dhidi ya mahasimu wao, Manchester United kwenye Uwanja wa Etihad.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aguero: Messi atatupa ubingwa wa Dunia

MSHAMBULIAJI wa Manchester City ya England, Sergio Aguero amesema kwamba yuko fiti na tayari kwa ushitikiano hatari na nyota wa FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi, kuongoza jaribio la timu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sergio Aguero na Silva wapata majeraha

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Sergio Aguerro anatarajiwa kukaa nje kwa mwezi mmoja baada ya kupata jeraha nyuma ya goti lake wakati alipokuwa akiichezea Argentina.

 

5 years ago

GIVEMESPORT

From Aguero to Messi: The 10 most-watched football goals on YouTube

From Aguero to Messi: The 10 most-watched football goals on YouTube  GIVEMESPORT

 

11 years ago

BBCSwahili

Aguero apiga Hart trick,City ikishinda.

Magoli matatu ya Sergio Aguero na moja la Kolarov, yameisaidia Man City kuvuka raundi ya nne ya michuano ya kombe la FA.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Aguero fiti kuiimarisha Argentina

>Angel Di Maria ameenguliwa katika kikosi cha Argentina kitakachocheza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, lakini Sergio Aguero yupo fiti kwa ajili ya mchezo huo baada ya kupona maumivu ya misuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani