Sergio Aguero na Silva wapata majeraha
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Sergio Aguerro anatarajiwa kukaa nje kwa mwezi mmoja baada ya kupata jeraha nyuma ya goti lake wakati alipokuwa akiichezea Argentina.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo512 Oct
Manchester City itawakosa Sergio Aguero na Silva wapata majeraha
5 years ago
Liverpool Echo11 Apr
Liverpool fans could get Sergio Aguero moment they thought had passed
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Kauli ya Sergio Aguero kama unafikiria kuwa Lionel Messi atajiunga na Man City …
Staa wa kimataifa wa Argentina anayekipiga katika klabu ya Manchester City, Sergio Kun Aguero amekiri kuwa angependa kumuona mshambuliaji wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi akijiunga na Manchester City japokuwa anaamini sio rahisi kufanya uamuzi huo. Ni zaidi ya mara mbili Lionel Messi anahusishwa kuhitajika na Man City, hata siku za […]
The post Kauli ya Sergio Aguero kama unafikiria kuwa Lionel Messi atajiunga na Man City … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Cheki video ya dakika 2 za Yaya Toure na Sergio Aguero walivyobadili matokeo ya mechi dhidi ya Watford
January 2 michezo ya Ligi Kuu Uingereza iliendelea ila mchezo kati ya Watford FC dhidi ya Man City ndio ulihitimisha michezo ya Ligi Kuu Uingereza kwa siku ya Jumamosi ya January 2. Man City walikuwa wageni wa Watford katika dimba la Vicarage Road. Mtu wangu wa nguvu Man City walifanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya […]
The post Cheki video ya dakika 2 za Yaya Toure na Sergio Aguero walivyobadili matokeo ya mechi dhidi ya Watford appeared first on TZA_MillardAyo.
5 years ago
Evening Standard23 Feb
Premier League top scorers 2019/2020: Pierre-Emerick Aubameyang closes gap on Jamie Vardy and Sergio Aguero
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Majeraha yamuandama Sharapova
10 years ago
Mwananchi18 Sep
‘Bunge la Katiba majeraha tupu’
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Sergio Busquet Kusaini mkataba mpya.
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Real Madrid:Sergio Ramos haondoki