Manchester City itawakosa Sergio Aguero na Silva wapata majeraha
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina na klabu ya Manchester City, Sergio Aguero anatarajiwa kuwa nje kwa mwezi mmoja baada ya kupata jeraha nyuma ya goti lake wakati alipokuwa akiichezea Argentina. Aguero alicheza kwa dakika 22 pekee wakati timu Argentina iliposhindwa na Ecuador. “Nadhani nitakuwa nje kwa kipindi cha mwezi mmoja,” Aguero aliiambia TYC […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili10 Oct
Sergio Aguero na Silva wapata majeraha
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Kauli ya Sergio Aguero kama unafikiria kuwa Lionel Messi atajiunga na Man City …
Staa wa kimataifa wa Argentina anayekipiga katika klabu ya Manchester City, Sergio Kun Aguero amekiri kuwa angependa kumuona mshambuliaji wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi akijiunga na Manchester City japokuwa anaamini sio rahisi kufanya uamuzi huo. Ni zaidi ya mara mbili Lionel Messi anahusishwa kuhitajika na Man City, hata siku za […]
The post Kauli ya Sergio Aguero kama unafikiria kuwa Lionel Messi atajiunga na Man City … appeared first on...
5 years ago
Liverpool Echo11 Apr
Liverpool fans could get Sergio Aguero moment they thought had passed
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Cheki video ya dakika 2 za Yaya Toure na Sergio Aguero walivyobadili matokeo ya mechi dhidi ya Watford
January 2 michezo ya Ligi Kuu Uingereza iliendelea ila mchezo kati ya Watford FC dhidi ya Man City ndio ulihitimisha michezo ya Ligi Kuu Uingereza kwa siku ya Jumamosi ya January 2. Man City walikuwa wageni wa Watford katika dimba la Vicarage Road. Mtu wangu wa nguvu Man City walifanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya […]
The post Cheki video ya dakika 2 za Yaya Toure na Sergio Aguero walivyobadili matokeo ya mechi dhidi ya Watford appeared first on TZA_MillardAyo.
5 years ago
Evening Standard23 Feb
Premier League top scorers 2019/2020: Pierre-Emerick Aubameyang closes gap on Jamie Vardy and Sergio Aguero
10 years ago
Africanjam.ComMAAMUZI YA REAL MADRID KUHUSU SERGIO RAMOS KUTUA MANCHESTER UNITED
Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.Follow us on...
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Aguero aizima Manchester Utd
5 years ago
The Busby Babe09 Mar
Manchester United 2-0 Manchester City: Martial and McTominay make Manchester Red
11 years ago
BBCSwahili25 Jan
Aguero apiga Hart trick,City ikishinda.