Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIBU KUBWA!

Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, Mwanza
NI aibu kubwa! Mpigachabo maarufu nchini, Andrea Masangu (29) amenaswa akiwa kwenye uvungu wa kitanda akiwapiga chabo wanandoa, Ijumaa Wikienda lina mkasa wote mkononi. Tukio hilo lilitokea Januari 10, mwaka huu, ndani ya Gesti ya Riverside, Stendi ya Nyegezi jijini hapa ambapo kijana huyo aliingia kwa kuruhusiwa na mhudumu wa gesti hiyo katika mtego makini uliotegwa na Oparesheni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AIBU KUBWA MREMBO ADAKWA KWA WIZI HOSPITALI!

Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
MREMBO mmoja aliyejulikana kwa jina la Mariam Moshi (23), mkazi wa Mwananyamala Ujiji, aliponea chupuchupu kuuawa na wagonjwa wenye hasira kali waliolazwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar baada ya kudaiwa kuiba nguo. Mariam Moshi akihamaki baada ya kukamatwa na nguo anazodaiwa kuiba katika wodi ya wazazi Hospitalini Mwananyamala.  Walinzi wa hospitali hiyo walimuokoa...

 

10 years ago

GPL

AIBU KUBWA! MUUZA GENGE ACHEZEA KICHAPO KWA KUNASWA NA MKE WA MTU

Stori: Dustan shekidele. Morogoro/Risasi
Aibu kubwa! Muuza genge mmoja kwenye Soko la Mji Mpya mjini hapa ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akichezea kichapo kwa madai ya kunaswa na mke wa mtu kisha kutembezwa mtupu mtaani. Muuza genge aliyechezea kichapo baada ya kunaswa na mke wa mtu na kutembezwa mtupu mtaani. Fumanizi hilo lililojaza umati wa jinsi na rika zote wakiwemo watoto lilijiri katikati ya wiki hii,...

 

9 years ago

Vijimambo

AIBU KUBWA: MGOMBEA URAIS AANGUA KILIO JUKWAANI,ANGALIA TUKIO HILI

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha Chauma, Mohammed Masod Rashid, amejikuta akiangua kilio jukwaani na kumpigia magoti Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kumuomba awaachie huru masheikh wa Jumuiya ya Mihadhara ya Dini ya Kiislamu (Uamsho) waliopo gerezani.
Tukio hilo lilitokea katika mkutano wa hadhara wakati akifungua kampeni za chama hicho visiwani hapa. 
Mgombea huyo alivuta hisia za wananchi na kila aliyekuwa akipita njia katika eneo hilo la kiwanja cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...

Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Aibu yetu, aibu yao...

Tambo, ngebe zilizotawala vinywa vya mashabiki, viongozi wa Yanga na, Simba zinafikia mwisho leo kwa pambano linalozikutanisha timu hizo mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani