Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIBU! MKE, MUME WAZICHAPA WAFUNGA MTAA

Stori: Richard Bukos
Hii ni aibu kubwa! Njemba mmoja aliyefahamika kwa jina la Zeno na mkewe Mwajuma Mtata, wakazi wa mtaa Mrefu,  Kigogo-Luhanga jijini Dar wamenaswa wakiangusha bonge la timbwili barabarani na kusababisha umati wa watu kujikusanya eneo hilo kujionea ‘sinema’ ya bure. Timbwili zito likianza kati ya njemba mmoja anayefahamika kwa jina la Zeno na mkewe Mwajuma Mtata. Tukio hilo lililofananishwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

PEMBE, SENGA WAFUNGA MTAA

Stori: Mwandishi Wetu, Kahama WASANII nyota wa vichekesho Bongo, Ulimboka Mwalulesa ‘Senga Kijumule’ na swahiba wake, Yusuph Kaimu Machoti ‘Pembe’ hivi karibuni walifunga mtaa mjini Kahama baada ya mashabiki kuwazunguka kwa dakika 45 wakiwashangaa. Wasanii nyota wa vichekesho Bongo, Ulimboka Mwalulesa ‘Senga Kijumule’(kulia) na swahiba wake, Yusuph Kaimu Machoti ‘Pembe’. ...

 

9 years ago

GPL

MUME WA MTU AFANYA MAMBO YA AIBU!

Richard Bukos Mwanaume mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja aliyedaiwa kuwa ni mume wa mtu, hivi karibuni alifanya mambo ya aibu ikiwemo kuvua nguo na kukata mauno mbele za wasichana. Baba huyo akisakata rumba. Tukio hilo lilijiri ndani ya Ukumbi wa Highway Night Park uliopo Ukonga jijini Dar wakati Bendi ya Mashujaa Musica ilipokuwa ikiporomosha burudani.Awali, mwanaume huyo ambaye ilidaiwa siku nyingine...

 

9 years ago

GPL

AIBU! MKE WA MTU AMWAGA RADHI

Na Dustan Shekidele, Morogoro. MWANAMKE mmoja aliyetambulika kama mke wa mtu, aliyetajwa kwa jina la Mama Sabrana, mwishoni mwa wiki iliyopita alijikuta kwenye aibu kubwa, baada ya kufanya mambo ndivyo sivyo ndani ya Ukumbi wa Rose Garden, uliopo Mafiga mjini hapa wakati wa sherehe za kumuaga binti wa dada’ke muigizaji maarufu nchini, Beatrice Holisi ‘Nina’. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1ORe6xr ...

 

10 years ago

GPL

AIBU ILIYOJE! MUME WA MTU ANASWA NDANI YA DANGURO NA WAANDISHI WETU

Na Waandishi Wetu NI aibu iliyoje! Mwanaume mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni mume wa mtu, amekutwa ndani ya danguro moja lililopo Sinza ya Mapambano jijini Dar ikiwa ni mazingira ya kutatanisha. Njemba huyo akisihi kuachiwa baada ya sakata hilo. Ishu hiyo ilijiri usiku wa manane wa Ijumaa kuelekea Jumamosi ya wiki iliyopita. Awali, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilipokea taarifa kutoka kwa vyanzo vyake… ...

 

11 years ago

GPL

AIBU MKE WA MTU, SHILINGI MILIONI 15 ZAMPONZA

Stori: Issa Mnally na Richard Bukos
MWANAMKE aliyetajwa kwa jina moja la Winfrida ambaye ni mke wa mtu amekwaa aibu ya karne baada ya kudaiwa kutaka kuuza kiwanja ambacho si mali yake na kujipatia fedha isivyo kihalali kutoka kwa mtu aitwaye Stanlaus Hajj ‘Stan’, Ijumaa lina mkanda kamili. Winfrida ambaye ni mke wa mtu akiwa mikononi mwa polisi baada ya kunaswa. Awali ilidaiwa kuwa mwanamke huyo, alichukua Sh....

 

10 years ago

GPL

AIBU! MKE AHARIBIWA SWAUMU NDANI YA DALADALA

Niaibu iliyoje! Licha ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, njemba mmoja ambaye jina lake halikufahamika, mkazi wa Raskazoni jijini hapa amepokea kichapo ‘hevi’ baada ya kumharibia swaumu mke wa mtu ndani ya daladala, Amani  lina kisa na mkasa. Njemba huyo akipokea kichapo toka kwa abiria waliokuwemo kwenye daladala hiyo. Tukio hilo lililoshuhudiwa na ‘shushushu’ wetu na kuacha mshangao mkubwa kwa...

 

10 years ago

GPL

AIBU JAMANI! MUME ANASA PICHA CHAFU ZA MKEWE NA MSANII WA BONGO MOVIE

Shani Ramadhani MAMA Fanueliii! Mwanamke Elgiva Winyaeli Munisi ‘Manka’, mkazi wa Kijitonyama, Dar, amejikuta katika wakati mgumu baada ya mumewe, Alpha kudaiwa kuzinasa picha za utupu akiwa na mchepuko uliofahamika kwa jina la Crama Lucas ambaye ni msanii wa Bongo Muvi, Ijumaa Wikienda lina filamu kamili. Elgiva Winyaeli Munisi ‘Manka’ na mchepuko wake Crama Lucas ambaye ni msanii wa Bongo...

 

11 years ago

GPL

MUME, MKE WATEKWA!

KIJANA aliyetambulika kwa jina la Dickson Mathias (35), na msichana aliyejulikana kwa jina la Mariam Kimaya wanadaiwa kutekwa kwa nyakati tofauti baada ya kufunga ndoa ya siri katika Kanisa la KKT, Tegeta jijini Dar, Mei Mosi, 2012, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Mariam Kimaya anayedaiwa kutekwa. Akizungumza na gazeti hili kwa majonzi makubwa, dada wa Dickson, Aneth Mbaga alisema tukio hilo lilitokea baada ya Dickson...

 

10 years ago

GPL

AIBU ILIYOJE: MKE AVAA KININJA, AMFUATILIA MUMEWE, AMFUMANIA

WAANDISHI WETU, MWANZA Aibu iliyoje! Tukio la aina yake limetokea maeneo ya Diluxe jijini hapa baada ya mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Faudhia almaarufu mama Baraka kumfumania mumewe akisaliti ndoa yao mbichi. Faudhia akihamaki baada ya kufumaniwa. Kwa mujibu wa mama Baraka, amekuwa akimfuatilia mumewe kwa muda mrefu baada ya kutonywa na wambeya kuwa baba mtoto wake huyo amekuwa akichepuka na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani