AINA ZA MADIRISHA KUTOKANA NA MALIGHAFI ZINAZOYATENGENEZA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-lFZhHpL5xyc/XvJwuY_zV_I/AAAAAAALvHw/wbiQELfQl-gA3AWKlzgyzrz5ax8k0pOgACLcBGAsYHQ/s72-c/Aluminium-window-2.jpeg)
MADIRISHA YA ALUMINIUMMalighafi ya aluminium ni nyepesi na imara na sahihi sana kwa kutengeneza madirisha. Aluminium haiathiriwi na unyevu kama ilivyo kwa mbao wala kuharibika kwa kujikunja kutokana na joto kali.
FAIDA ZA MADIRISHA YA ALUMINIUM
-Yanadumu kwa muda mrefu sana, madirisha ya aluminium yana uimara wa kudumu kwa miaka 30 mpaka 50 na hata zaidi bila kuharibika kwa sababu hayaathiriwi na hali za hewa kama baridi kali au joto.
-Yanachukuwa eneo dogo sana la fremu ya dirisha, madirisha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-X_EKDrifT-A/XvCL5EUDZZI/AAAAAAALu6k/njLxH_Gn7g8pLulPCtCGe2yQFUgJySUnACLcBGAsYHQ/s72-c/hCWUmxf2_400x400.png)
MZABUNI WA MADIRISHA UJENZI WA IKULU NDOGO HANANG AKAMATAWA NA TAKUKURU
![](https://1.bp.blogspot.com/-X_EKDrifT-A/XvCL5EUDZZI/AAAAAAALu6k/njLxH_Gn7g8pLulPCtCGe2yQFUgJySUnACLcBGAsYHQ/s320/hCWUmxf2_400x400.png)
BAADA ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara kubaini madirisha yaliyowekwa katika ujenzi wa Ikulu Ndogo unaoendelea wilayani hapo hapo chini ya kiwango umemkamata na kumshikilia Joakimu Kauki kwa tuhuma hizo.
Kauki ndiye aliyepewa tenda ya uzabuni ya kutengeneza madirisha ya Aluminum na ofisi ya manunuzi Mkoa wa Manyara kwa jengo la Ikulu Ndogo inayojengwa wilayani Hanang.
Uchunguzi uliofanywa na TAKUKURU umebaini pia...
10 years ago
Habarileo16 Feb
Nagu asisitiza uongezaji thamani malighafi
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Dk Mary Nagu amevitaka viwanda vya ndani kuacha kuuza mali ghafi nje ya nchi na badala yake viongezee thamani malighafi hizo ili kukuza uchumi wa ndani na ajira.
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Aibu Tanzania kuuza malighafi nje
MATAIFA mengi Afrika yanapambana kupiga hatua kufikia uchumi mkubwa na kuachana na utegemezi kutoka kwa mataifa yaliyoendelea huku Tanzania ikiendelea na dhana kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu.
Katikati ya wiki, mchumi wa kimataifa aliyepata kufanya kazi Benki ya Dunia, Profesa Justin Yifu Li kutoka China, alisema jijini Dar es Salaam kwamba umasikini si majaaliwa Afrika, bali ni janga linalohitaji kuondolewa haraka kwa kuwekeza kwenye viwanda.
Alisema si lazima mataifa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6lcc2DvTYAY/XtPJ1nKNBoI/AAAAAAALsJw/5JtbI_Ha3YwBuVCeMIGjDbgVnmP5gbdNgCLcBGAsYHQ/s72-c/5-10-2048x1236.jpg)
TUWEKEZE KWENYE VIWANDA VINAVYOTUMIA MALIGHAFI ZA NDANI-PROF. SHEMDOE
![](https://1.bp.blogspot.com/-6lcc2DvTYAY/XtPJ1nKNBoI/AAAAAAALsJw/5JtbI_Ha3YwBuVCeMIGjDbgVnmP5gbdNgCLcBGAsYHQ/s640/5-10-2048x1236.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/1-34-scaled.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe wa kwanza (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Kiwanda kuzalisha mafuta ya kupikia cha Bugili Investment Bw. Nkuba Bugili wa kwanza (kushoto) alipofanya ziara katika kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu. {Picha na Wizara ya Viwanda na Biashara} .
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/2-25-scaled.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5ZgKQIXuGfM/XnuhadWlxOI/AAAAAAALlDM/Xe58Bjk1o3M9k_COTb8rvgLUf-bsKVaywCLcBGAsYHQ/s72-c/79232024-280e-4634-910c-07c082c19b95-768x512.jpg)
SERIKALI YAWAKUTANISHA WAZALISHAJI WA MALIGHAFI ZINAZOTUMIKA KUTENGENEZA VITAKASA MIKONO (HAND SANITIZER) LEO JIJINI DODOMA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-5ZgKQIXuGfM/XnuhadWlxOI/AAAAAAALlDM/Xe58Bjk1o3M9k_COTb8rvgLUf-bsKVaywCLcBGAsYHQ/s640/79232024-280e-4634-910c-07c082c19b95-768x512.jpg)
WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na wazalishaji wa vitakasa mikono(Hand Sanitizer) wakati wa ufunguzi wa kikao cha kuweka mikakati ya kuongeza uzalishaji ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona kilichofanyika Jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/2e7751e7-a7f3-4533-9147-fa22293c0706-1024x683.jpg)
5 years ago
MichuziWAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA KIWANDA CHA OCEAN ALLUMINIUM AMBACHO SHEHENA YA MALIGHAFI YAKE IMEKWAMA BANDARINI
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MANYANYA AKABIDHI MALIGHAFI ZINAZOTUMIKA KUTENGENEZA VITAKASA MIKONO (HAND SANITIZER) KWA WIZARA YA AFYA TIRDO NA SIDO LEO