Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nagu asisitiza uongezaji thamani malighafi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Dk Mary Nagu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Dk Mary Nagu amevitaka viwanda vya ndani kuacha kuuza mali ghafi nje ya nchi na badala yake viongezee thamani malighafi hizo ili kukuza uchumi wa ndani na ajira.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wakazi wa Kiswira wapewa elimu uongezaji thamani mazao

CHUO cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa mkoani hapa kimeendesha mafunzo ya matumizi ya nishati ya jua katika uhifadhi na uongezaji thamani mazao kwa wakazi wa Kijiji cha Kiswira, Kata ya...

 

10 years ago

Michuzi

Kituo cha Jimolojia kuwezesha uongezaji thamani madini nchini

Mratibu wa Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) Mussa Shanyangi (wa pili kulia), akiwaonesha Mkurugenzi wa Manunuzi Wizara ya Nishati na Madini Amon Makachayo (wa pili kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Habari na Teknolojia Francis Fungameza namna mashine ya kukata mawe inavyofanya kazi.Baadhi ya Wanafunzi katika kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) waki polish mawe wakati wa mafunzo. Wanafunzi hao wako katika mafunzo ya ukataji na unga’rishaji madini katika kituo hicho.Meneja Mradi...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAFANYIKA JIJINI DAR

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bw. Celestine Onditi wa pili kulia ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano wa Wadau wa Ukusanyaji Maoni Sheria ya Uongezaji Thamani Madini akiwa katika picha ya pamoja na wadau hao. Wa kwanza kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Sheria ya Uongezaji Thamani Madini , Mhandisi Hamis Komba, ( wa tatu kushoto) ni Kamishna Msaidizi wa Uchumi na Biashara Mhandisi Salim Salim, Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kusini Mhandisi Benjamin Mchwampaka wa kwanza...

 

10 years ago

Michuzi

Kamishna wa Madini afungua mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake.

Na Teresia Mhagama Kamishna wa madini nchini, Mhandisi Paul Masanja amefungua rasmi mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake 15 wa kitanzania waliopata ufadhili wa masomo hayo ambayo ni matunda ya harambee iliyoanzishwa na Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya Kimataifa ya Vito ya Arusha mwaka 2012. Mafunzo hayo ya ukataji madini yatakayowawezesha wanafunzi husika kukata madini na kuyachonga katika maumbile ya kuvutia yatakuwa yakitolewa kwa muda wa miezi Sita katika Kituo cha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakulima mboga mboga wataka uongezaji thamani

WAKULIMA wa mboga mboga na viungo wilayani Kilosa mkoani hapa, wameiomba serikali, taasisi, kampuni na watu binafsi nchini kote kujitokeza kuwekeza katika kuongeza thamani, ufungaji bora na kuwezesha mazao hayo...

 

5 years ago

Michuzi

AINA ZA MADIRISHA KUTOKANA NA MALIGHAFI ZINAZOYATENGENEZA.




MADIRISHA YA ALUMINIUMMalighafi ya aluminium ni nyepesi na imara na sahihi sana kwa kutengeneza madirisha. Aluminium haiathiriwi na unyevu kama ilivyo kwa mbao wala kuharibika kwa kujikunja kutokana na joto kali.

FAIDA ZA MADIRISHA YA ALUMINIUM

-Yanadumu kwa muda mrefu sana, madirisha ya aluminium yana uimara wa kudumu kwa miaka 30 mpaka 50 na hata zaidi bila kuharibika kwa sababu hayaathiriwi na hali za hewa kama baridi kali au joto.

-Yanachukuwa eneo dogo sana la fremu ya dirisha, madirisha...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Aibu Tanzania kuuza malighafi nje

MATAIFA mengi Afrika yanapambana kupiga hatua kufikia uchumi mkubwa na kuachana na utegemezi kutoka kwa mataifa yaliyoendelea huku Tanzania ikiendelea na dhana kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu.

Katikati ya wiki, mchumi wa kimataifa aliyepata kufanya kazi Benki ya Dunia, Profesa Justin Yifu Li kutoka China, alisema jijini Dar es Salaam kwamba umasikini si majaaliwa Afrika, bali ni janga linalohitaji kuondolewa haraka kwa kuwekeza kwenye viwanda.

Alisema si lazima mataifa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Wilaya ya Arusha kampeni ya uongezaji virutubishi leo

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mheshimiwa John Mongela akiongea wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uongezaji virutubishi katika ngazi ya jamii mkoani Arusha leo,   kushoto kwake ni Dr. Vicent Assey kutoka Wizara ya Afya –makao makuu na kulia kwake ni  Kaimu Mganga mkuu wa Arusha ,Dr. Omary Chando.Uzinduzi huo ulianza kwa mafunzo maalumu kutoka wizara ya Afya ikishilikiana na taasisi ya chakula na Lishe (TFNC)  kutolewa kwa viongozi wa juu wa Mkoa pamoja na wakuu wa wilaya za Monduli, Karatu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani