Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YATOA MSAADA WA FUTARI JIJINI DAR

 Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya (kulia) akikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vyenye thamani ya milioni 5/- kwa wawakilishi wa kituo cha kulelea watoto waliokatika mazingira magumu cha Irishad Madrasah cha Mbezi kwa Msuguri (kutoka kushoto), Mkurugenzi wa Kituo, Ustadhi Maulid Salim Kidebe, Ayoub Idrissa na Ramadhan Ayoub, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Airtel kupitia mpango wake wa huduma kwa jamii imeanza kutoa futari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AIRTEL YATOA MSAADA WA FUTARI JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya (kulia) akikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vyenye thamani ya milioni 5/- kwa wawakilishi wa kituo cha kulelea watoto waliokatika mazingira magumu cha New Hope Family cha Mjimwema Kigamboni (kutoka kushoto), Mlezi wa Kituo, Merry Stromberg, Victor Mshan, Anthony Mtatiro na Mwenyekiti wa kituo, Omari Kombe, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatoa msaada wa vitabu kwa shule za sekondari Dar

 Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia), akikabidhi vitabu vya masomo ya sayansi vyenye thamani ya shilingi milioni 4.5/-, kupitia Mradi wa ‘Airtel Shule Yetu’ kwa Mwakilishi wa Afisa Elimu ya Sekondari Manispaa ya Temeke, Yasintha Kayoza kwa niaba ya shule tatu za sekondari za Mbagala, Mvuti na Kambangwa katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya Sekondari ya Mbagala jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Sekondari ya  Mbagala, Mwalimu...

 

11 years ago

Michuzi

AIRTEL YATOA FUTARI KWA WATOTO YATIMA MKOANI MWANZA


Meneja  Biashara Kanda ya Ziwa Raphael Daudi (wa tatu kutoka kulia) akiwa na Meneja wa Masoko Kanda Emanuel Raphael (wa kwanza kulia) pamoja na  Meneja wa Airtel mkoa wa Mwanza David Wankulu wakikabidhi msaada wa chakula cha kufuturisha katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani  kwa Katibu mkuu wa Jumuiya ya Kuendeleza Quran na Suna Tanzania (JUQUSUTA)  Twaha bin Bakari Utari (wa tano kutoka kulia) akiwa katika picha na wadau wengine wa Kituo cha watoto yatima cha Sharif Said Al-Bith kilichopo...

 

9 years ago

Michuzi

WHO YATOA MSAADA WA DAWA ZA KUTAKASA MAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dk Donan Mmbando  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kwa kulishukuru shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kwa kutoa msaada wa Dawa za kutakasa maji (Water Guard ) leo jiji Dar es Salaam kulia ni Mwakilishi wa shirika la Afya Ulimwenguni hapa Nchini Dk Rufaro Chatora. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dk Donan Mmbando leo jiji Dar es Salaam Mwakilishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

PSPF YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA JIJINI DAR

 Afisa Uhusioano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Wapili kulia), akimsalimia Mkurugenzi wa Kituo cha Kulea Watoto Yatima, (CHAKUWAMA), kilichoko Sinza jijini Dar es Salaam jana, baada ya wafanyakazi wa Mfuko huo kukab idhi misaadsa ya vyakula kwa ajili ya sikukuu ya Idd. Mfuko huo pia umekabidhi misaada kama hiyo kwa vituo vingine sita vya yatima jijini kwa ajili ya sikukuu ya Idd. Kulia ni Afisa wa fedha wa Mfuko huo, Mohammed Madenge, na kushoto ni A\fisa Masoko,...

 

9 years ago

Dewji Blog

PPF yatoa msaada kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi, Shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu jijini Dar

Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, (kushoto), na Afisa wa Fedha Mwandamizi wa Mfuko huo, Angel Mukasa, (kulia), na Mfanyakazi mwingine wa Mfuko huo, Omari Bundile, (wapili kushoto), wakigawa mafuta maalum yanayotumiwa na watu wenye ulemavu wa ngozi, pamoja na sare za shule na viatu kwa wanafunzi hawa wenye ulemavu wa ngozi wa shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu, Kurasini jijini Dar es Salaam leo Septemba 11, 2015. Katika kutekeleza sera ya mfuko ya kusaidia jamii,...

 

9 years ago

Michuzi

PPF YATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI, SHULE YA MSINGI YA JESHI LA WOKOVU JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, (kushoto), na Afisa wa Fedha Mwandamizi wa Mfuko huo, Angel Mukasa, (kulia), na Mfanyakazi mwingine wa Mfuko huo, Omari Bundile, (wapili kushoto), wakigawa mafuta maalum yanayotumiwa na watu wenye ulemavu wa ngozi, pamoja na sare za shule na viatu kwa wanafunzi hawa wenye ulemavu wa ngozi wa shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu, Kurasini jijini Dar es Salaam leo Septemba 11, 2015. Katika kutekeleza sera ya mfuko ya kusaidia jamii,...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya CBA (Commercial Bank of Africa (Tanzania) yatoa msaada wa Matanki ya Maji kwa Hospitali za Umma jijini Dar es salaam.

Benki ya Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania imetoa msaada wa matanki nane ya maji yasiyo na mkono kwa hospitali nne zilizochaguliwa jijini Dar es salaam kukabiliana na mahitaji yanayoongezeka ya kusafisha mikono ambayo ni hatua muhimu katika kupambana na COVID-19.

Akikabidhi mchango huo Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA, Gift Shoko amesema msaada huo ni sehemu ya hatua zilizochukuliwa na CBA kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na kusambaa kwa COVID-19 nchini Tanzania.

"Commercial...

 

11 years ago

Michuzi

AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE ZA SEKONDARI MBEYA

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mbeya iliyopo jijini na Mkoa wa Mbeya, Magreth Haule, (aliyeshika vitabu) akifurahia jambo mara baada ya kukabidhiwa msaada wa vitabu vya masomo tofauti tofauti kutoka kampuni ya  simu ya Airtel jana. katikati ni Ofisa Masoko wa kampuni ya mtandao wa simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga na Ofisa Mauzo wa kampuni hiyo Mbeya Priscus Kimario.    Ofisa Masoko wa kampuni ya simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani