Airtel yadhamini Mafunzo ya waandishi
Mwenzeshaji wa Mafunzo ya waandishi wa habari bwana Ndimata Tegambwage akiongea wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imedhamini mafunzo ya wapigapicha yatakayofanyika kuanzia kesho katika kituo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na MP5 2011 Entertainment. Pichani katikati ni Afisa mawasiliano na Matukio bi Dangio Kaniki akifatiwa na mratibu wa semina Mpochi Selemani.
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imesema itaendelea kuwajengeauwezo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziAirtel yadhamini Mafunzo ya waandishi wa habari
Mwenzeshaji wa Mafunzo ya waandishi wa habari bwana Ndimata Tegambwage akiongea wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imedhamini mafunzo ya wapigapicha yatakayofanyika kuanzia kesho katika kituo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na MP5 2011 Entertainment. Pichani katikati ni Afisa mawasiliano na Matukio bi Dangio Kaniki akifatiwa na mratibu wa semina Mpochi Selemani. KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imesema itaendelea kuwajengea uwezo...
11 years ago
GPLAIRTEL YADHAMINI MAFUNZO YA WAANDISHI
11 years ago
Dewji Blog07 Aug
Benki ya Posta yadhamini klabu ya waandishi, TASWA SC
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Moses Manyata (wa kwanza kushoto)akikabidhi mfano wa hundi kwa mwenyekiti wa Taswa SC, Majuto Omary (wa kwanza kulia)ikiwa sehemu ya benki hiyo kusaidia michezo nchini. Katikati ni Afisa Mawasiliano wa wa benki hiyo, Chichi Hilda Banda.
Na Mwandishi wetu
Benki ya Posta Tanzania (TPB) imeidhamini klabu ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC), kufuatia juhudi zake za kuhamasisha na kuendeleza michezo nchini.
Benki...
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Airtel yadhamini Tuzo ya Mwanamakuka 2014
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imetangaza kudhamini tuzo za Mwanamakuka zenye lengo la kusaidia wanawake kutoka katika maeneo mbalimbali kujiinua kiuchumi. Tuzo hizo zinaandaliwa na The Unity of...
9 years ago
MichuziTOTAL TANZANIA YADHAMINI MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI KWA SHULE 10 ZA MSINGI JIJINI DAR
Askali wa usalama barabarani akitoa mafunzo kwa wanafunzi wa shule ya za msingi jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanafunzi wakiwa navyeti walivyo tunukiwa mara baada ya kupata mafunzo ya usalama barabarani jijini Dar es Salaam.
Na Tom Bishop. KAMPUNI ya Mafuta ya Tatal Tanzania imedhamini mafunzo ya usalama barabarani kwa shule za msingi 10 jijini Dar es Salaam. Udhamini wa mafunzo hayo yamegharimu kiasi cha Dola za Kimarekani 20,000 kupeleka kwenye mradi wake wa elimu ya usalama...
9 years ago
MichuziAIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Airtel kupeleka waandishi wanne Old Trafford
KAMPUNI ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imetangaza kuwapeleka waandishi wa habari za michezo wanne watakaopata uzoefu wa kuripoti moja kwa moja ‘live’ Ligi Kuu ya Uingereza na kupata nafasi ya...
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Waandishi wa habari Singida wapata mafunzo ya haki za binadamu
Mwezeshaji wa mafunzo, Lilian Timbuka, akitoa mada yake kwenye mafunzo yanayohudhuriwa na waandishi wa habari mkoa wa Singida,yanayohusu maadili katika uandishi wa habari na kuripoti masuala yaliyo kwenye mazingira magumu.
Mwezeshaji Lilian Timbuka,akitoa mada yake wakati akifundisha waandishi wa habari mkoa wa Singida, juu ya maadili ya uandishi wa habari na kuripoti masuala yanayojitokeza kwenye mazingira magumu.Mafunzo hayo ya siku nne,yameandaliwa na kufadhiliwa na Baraza la habari...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Airtel yawapatia mafunzo wafanyakazi wa afya
WAFANYAKAZI wa afya wa Kijiji cha Mbola, mkoani Tabora, wameishukuru Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kutokana na teknolojia ya huduma ya mawasiliano inayowawezesha kutoa huduma za afya...