Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aishi na maiti akitarajia itafufuka

Familia moja nchini Canada iliishi na maiti kwa miezi sita kwa kuwa waliamini marehemu atafufuka

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Mtoto wa Miaka 4 aishi na maiti ya mama yake kwa siku 2

maittiBryan Allen akiwa na mama yake Shaleena Hamilton (enzi za uhai wake).maitinBryanmaitiiBaiskeli aliyozawadiwa Bryan.

Bryan Allen is “doing well” after he survived 48 hours, after his mom died. Thought mom was sleeping @news4buffalo pic.twitter.com/UZXUma2c6S

— Marissa Perlman (@MPerlman4) December 14, 2015

Bryan won’t be here, but here’s his new bike pic.twitter.com/pOjtb55QFu — Aaron Besecker (@AaronBesecker) December 14, 2015

Donations have come from police, people dropping off at districts, other...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AISHI MAKABURINI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
WAKATI sehemu ya makaburi imekuwa ikiogopwa na watu wengi kutokana na ukweli kwamba ni makazi ya wafu, hali ni tofauti kwa mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 8-9 ambaye jina lake halikuweza kufahamika, kuishi katika makaburi ya Kigilagila, Yombo jijini Dar es Salaam kwa zaidi ya mwezi mmoja. Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio na baadaye...

 

11 years ago

GPL

AISHI KWENYE HANDAKI MIAKA MINNE

Stori: Makongoro Oging’
DUNIA haiishi vituko! Chacha Makenge (36)  mzaliwa wa Kijiji cha Kisangula, Mtukula, Serengeti mkoani Mara anaishi jijini Dar lakini ndani ya handaki aliloligeuza chumba kwa miaka minne sasa, ni ajabu lakini ni kweli. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni nje ya handaki hilo lililopo mita chache kutoka majengo ya biashara ya Mlimani City, Makenge alisema alichukua uamuzi huo baada ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aishi kwa kula udongo miaka 10

KIKONGWE Athumani Kulaba (80) mkazi wa Chanika jijini Dar es Salaam, amewashangaza wakazi wa eneo hilo alipobainika kuwa anakula udongo kama chakula kwa zaidi ya miaka 10. Kwa mujibu wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto aishi ndani ya boksi miaka 3

MTOTO wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi. Unyama huo wa kusikitisha, umefanyika muda wote huo kwa mtoto huyo Morogoro mjini katika mtaa wa Azimio bila kuripotiwa popote, huku wakazi na majirani wa nyumba hiyo wakisikia akikohoa na kulia usiku, na baba yake mzazi akiendelea na maisha kwa kumuogopa mkewe.

 

11 years ago

Habarileo

Muuguzi aishi chumba cha kujifungulia

WA J A W A Z I T O katika Kijiji cha Iglansoni wilayani Ikungi mkoani Singida hawana mahali pa kujifungulia baada ya muuguzi wa zahanati hiyo, Mary Misai kuweka makazi yake kwenye chumba hicho.

 

11 years ago

GPL

KIKONGWE AISHI KWA KULA UDONGO

Stori: Denis Mtima KATIKA hali ya kushangaza na kusikitisha sana, kikongwe mmoja aitwaye Athuman Ngusa Kulaba (80) amekuwa akiishi kwa kula udongo wa nyumba anayoishi kwa sababu ya kukosa chakula cha kibinadamu, Uwazi limemvumbua. Athuman Ngusa Kulaba amekuwa akiishi kwa kula udongo wa nyumba anayoishi. Kikongwe huyo alikutwa na gazeti hili hivi karibuni nyumbani kwake, Chanika wilayani Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam baada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto aishi kwenye zizi la mbuzi miaka 10

>Wakati tukio la mtoto Nasra kuishi kwenye boksi kwa miaka minne na hatimaye kifo chake halijasahaulika, mtoto mwingine mwenye ulemavu amebainika akiwa amefungwa kwenye zizi la mbuzi kwa miaka 10.

 

11 years ago

Mwananchi

Aishi kwenye handaki kwa miaka minne

>Tunaposikia handaki, fikra zinatupeleka moja kwa moja kwenye vita kwani aghalabu, mahandaki hutumiwa na watu kujificha wakati wa vita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani