AJALI: MAGARI MATATU YAGONGANA
![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZClW06tmHgNYdh3ZIVRgT8uPIHSgRSHliL1UzlJdfF7q9F9uvaAuGk1dEHRzug3XWJfT3w8osD7bG*80Wz0Ewk0y/AJALI3.jpg)
Magari matatu yamegongana kwenye makutano ya Barabara ya Ubungo-Mabibo Mwisho na Barabara ya External jijini Dar es Salaam. Ajali hiyo imelihusisha gari dogo lenye namba za usajili T 218 CVK, Canter lenye namba za usajili T 820 BYR na Lori lenye namba T 779 AWC. Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-SFOvyWyl_kg/VbTaJqZUscI/AAAAAAAAEhE/hAYul7JcA-I/s72-c/11791692_966389366746420_3702662_n.jpg)
MAGARI MATATU YAGONGANA MJINI MBEYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-SFOvyWyl_kg/VbTaJqZUscI/AAAAAAAAEhE/hAYul7JcA-I/s640/11791692_966389366746420_3702662_n.jpg)
Ajali mbaya imetokea leo jijini Mbeya baada ya magari matatu kugongana katika eneo la Mama John ambapo magari yaliyohusika katika ajali hiyo ni basi la Al Saedy linalofanya safari zake kutoka Mbeya kwenda mkoani Dar es Salaam, Noah na gari lingine dogo (IT).
![](http://4.bp.blogspot.com/-6DH1Ghoc1SI/VbTaJgltBgI/AAAAAAAAEhA/eOGmFb48rsM/s640/11793364_966389406746416_1340343372_n.jpg)
Ajali hiyo imetokea leo asubuhi wakati dereva ambaye hajafahamika jina mara moja wa basi la Al Saedy lenye namba za usajili T T830 BQG lililokuwa limetokea kituo kikuu cha mabasi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vmSCjfwaT_Y/VVBNx6yV-8I/AAAAAAAHWlo/eegjN9HMDcg/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-11%2Bat%2B9.34.04%2BAM.png)
WATU KUMI NA TANO WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU KATIKA BARABARA YA NJOMBE/MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-vmSCjfwaT_Y/VVBNx6yV-8I/AAAAAAAHWlo/eegjN9HMDcg/s640/Screen%2BShot%2B2015-05-11%2Bat%2B9.34.04%2BAM.png)
AJALI HIYO IMETOKEA MNAMO TAREHE 10.05.2015 MAJIRA YA SAA 20:10...
5 years ago
MichuziMAGARI MAWILI YAGONGANA NA KUSABABISHA MAJERUHI NA UHARIBIFU
10 years ago
BBCSwahili15 May
Magari yanayojiendesha yahusika na ajali
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Ajali za magari zaua Tanga, Singida
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jun
Ajali ya magari manne yaua sita Dar
WATU sita wamefariki dunia mjini Dar es Salaam na wengine 12 kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha magari manne.
Ajali hiyo ambayo ilitokea saa 7:30 mchana, ilihusisha daladala mbili, lori na gari dogo aina ya Land Rover Discover ambapo ilitokea katika eneo la Lugalo njiapanda.
Mashuhuda wa ajali hiyo walisema, ajali hiyo ilisababishwa na daladala lililokuwa likitoka Ubungo kwenda Tegeta lenye namba za usajili T 441 CKT ambalo lilihama njia na kupanda tuta kisha...
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Ajali za magari bado tishio-DCI Mngulu
11 years ago
MichuziAJALI YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
11 years ago
Habarileo02 Apr
TBS: Magari mitumba, tairi chakavu chanzo cha ajali
UNUNUZI wa magari nje ya nchi yaliyokaa muda mrefu kisha kuyatumia nchini, unadaiwa kuchangia ajali nyingi barabarani, kutokana na baadhi tairi kuisha muda wa matumizi.